Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa kilimo Prof Mkenda hebu tufanyie wepesi sisi wakulima kwani bei za mbolea na mbegu zinakatisha tamaa. Hivi hamuwezi kuweka ruzuku kutoka kwenye zile fedha za Corona? Mungu wa mbinguni...
1 Reactions
3 Replies
606 Views
Nimejaribu kuchunguza kwa umakini nchi hizo mbili za Tanganyika na Tanzania na kubaini kuwa zinatofautiana Sana tena kwa mbaali, hizi sherehe za leo ni kweli kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania na sio...
1 Reactions
2 Replies
696 Views
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Nchi hii, ili ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma upungue kwa kiasi kikubwa(najua hauwezi kwisha), yoyote ataepatikana na hatia ya ubadhirifu, wizi na ufisadi wa mali ya umma, anyongwe hadharani...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba? Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita? Kuna nini...
7 Reactions
92 Replies
5K Views
Hao ndiyo wanasiasa wetu wanaoamini katika maneno bila vitendo. Picha hapo juu ni mmoja wa wanasiasa machachari mno linapokuja suala la nadharia kuhusu kupambana na Corona ajabu katika vitendo ni...
1 Reactions
3 Replies
771 Views
Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi, ni jukumula Serikali kuhakikisha inatengeneza sera na namna bora ya kuhakikisha kila Mwananchi analipa kodi, Serikali ya awamu ya Sita...
3 Reactions
9 Replies
889 Views
1. Tanzania bado ina Viongozi Waonevu na bahati mbaya tena wengine bado tu wanarandaranda Mitaani na sijui kwanini hawagusiki na wanaogopwa na wenye Kuwawajibisha. 2. Tunataka Katiba Mpya je...
26 Reactions
75 Replies
7K Views
Habari wadau, Zoezi la kuhamisha wamachinga waliokuwa wameziba njia za watembea kwa miguu lilifanyika kwa malengo mengi ikiwa ni pamoja na watembea kwa miguu kupata njia za kupita. Wenye magari...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukisha wagawa watu hutoweza kuwaongoza. Samia ashafeli mapema hatofanikiwa kwa kiwango kikubwa. Samia alipopata madaraka ukweli watanzania wengi walikuwa wanampenda Sana, si CCM, si Chadema Wala...
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Wakulima wanahali mbaya kuzidi hata enzi za mkoloni. Uhuru wao bado kufika. 1. Wakati wa mkoloni kulikuwa na bodi za mazao, lengo lake ilikuwa ni kupanga bei na kumnyonya mkulima. Tulipopata...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Halmashauri ya Chato kukamilisha Ujenzi wa stendi katika Halmashuri hiyo ili kuwezesha wananchi kuingia na kuanza Biashara...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Baada ya vita ya kwanza ya dunia, league of nations wakaiweka Tanzania kuwa protectorate chini ya muingereza. Sasa kuwa namna hii na kuwa koloni kama zilivyokuwa Kenya na Uganda kuna tofauti gani...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya...
14 Reactions
144 Replies
15K Views
Sasa ni wazi hali imeanza kuwa tete kwa wafanyabiashara washirika wa vigogo wa serikali na watoto wao... Kampuni ya Home Shopping Centre washaanza kufungasha virago na kukimbia kusikojulikana...
27 Reactions
313 Replies
114K Views
Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na Serikali Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi...
17 Reactions
43 Replies
4K Views
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini. Huyu jamaa yupo smart sana. Anaweza kuleta mageuzi...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mh Mbowe muda huu tunajua upo gerezani ukiwa unalindwa na pembe 4 za kuta za magereza. Lkn huku mitaani unakumbukwa kila siku na mamilioni ya watanzania wapenda amani. Naikumbuka hii siku ulivyo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndio kama mnavyosoma hapo juu, Style inayotumika sasa inaitwa ZIGZAGA, huyu kule huyu huku, ni mwendo wa mashambulizi bila kukoma. Kwa siku mbili mfululizo Mwenyekiti wa Bawacha Mh Sharrifa...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…