Sikufikiri kuna siku Lengai Ole Sabaya atawategemea mawakili binafsi badala ya wale wa Sserikali

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Kweli Dunia hadaa na ulimwengu shujaa, Mfungwa Lengai Ole Sabaya wakati huo akitisha watu kuwafungulia kesi za uhujumu Uchumi aliwategemea mawakili wa serikali watamsaidia kufanikisha jambo

Leo hii mawakili wale wale wa serikali ndio wanahimiza watu kujitokeza zaidi kupeleka ushahidi wa kumpeleka Sabaya kwenye hukumu mpya ukiacha ya miaka 30

Je, Kuna siku hata sisi wana CCM na viongozi wa serikali tutawafuata hao akina Peter Kibatala kutusaidia kutuokoa

Sabaya yule muntu yenye nguvu, Muntu ya watu, Pedesheee la wilaya na alijiona alfa na omega Leo anategemea msaada wa mawakili binafsi

Sabaya Leo hajui Omega yake itakuaje, Akiwa madarakani alijua omega yake ni daima

Mwaka jana mwezi kama huu Sabaya alikuwa anasherekea ushindi na mbunge wake mpya wa ccm, Leo sidhani kama hata huyo mbunge aliyempigania ameenda jela kumuona Sabaya

Ni muhimu wana ccm na viongozi wa serikali tutambue kuna Omega ya haya maisha, Omega ya Sabaya anategemea mawakili binafsi na sio wa serikali tena
 
moral of the story
images (8).jpeg
 
He should have realized that nothing is permanent. By the way he's enjoying the fruits of his past deeds (Isn't that so !!!).
 
What goes around comes around
Kweli Dunia hadaa na ulimwengu shujaa, Mfungwa Lengai Ole Sabaya wakati huo akitisha watu kuwafungulia kesi za uhujumu Uchumi aliwategemea mawakili wa serikali watamsaidia kufanikisha jambo

Leo hii mawakili wale wale wa serikali ndio wanahimiza watu kujitokeza zaidi kupeleka ushahidi wa kumpeleka Sabaya kwenye hukumu mpya ukiacha ya miaka 30

Je? Kuna siku hata sisi wana ccm na viongozi wa serikali tutawafuata hao akina Peter Kibatala kutusaidia kutuokoa

Sabaya yule muntu yenye nguvu, Muntu ya watu, Pedesheee la wilaya na alijiona alfa na omega Leo anategemea msaada wa mawakili binafsi

Sabaya Leo hajui Omega yake itakuaje, Akiwa madarakani alijua omega yake ni daima

Mwaka jana mwezi kama huu Sabaya alikuwa anasherekea ushindi na mbunge wake mpya wa ccm, Leo sidhani kama hata huyo mbunge aliyempigania ameenda jela kumuona Sabaya

Ni muhimu wana ccm na viongozi wa serikali tutambue kuna Omega ya haya maisha, Omega ya Sabaya anategemea mawakili binafsi na sio wa serikali tena
 
Kweli Dunia hadaa na ulimwengu shujaa, Mfungwa Lengai Ole Sabaya wakati huo akitisha watu kuwafungulia kesi za uhujumu Uchumi aliwategemea mawakili wa serikali watamsaidia kufanikisha jambo

Leo hii mawakili wale wale wa serikali ndio wanahimiza watu kujitokeza zaidi kupeleka ushahidi wa kumpeleka Sabaya kwenye hukumu mpya ukiacha ya miaka 30

Je, Kuna siku hata sisi wana CCM na viongozi wa serikali tutawafuata hao akina Peter Kibatala kutusaidia kutuokoa

Sabaya yule muntu yenye nguvu, Muntu ya watu, Pedesheee la wilaya na alijiona alfa na omega Leo anategemea msaada wa mawakili binafsi

Sabaya Leo hajui Omega yake itakuaje, Akiwa madarakani alijua omega yake ni daima

Mwaka jana mwezi kama huu Sabaya alikuwa anasherekea ushindi na mbunge wake mpya wa ccm, Leo sidhani kama hata huyo mbunge aliyempigania ameenda jela kumuona Sabaya

Ni muhimu wana ccm na viongozi wa serikali tutambue kuna Omega ya haya maisha, Omega ya Sabaya anategemea mawakili binafsi na sio wa serikali tena
Cheo ni dhamana,sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu,Sabaya oyee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom