Wote walikuwa na viburi wakiwa wasemaji wa Chama. NapeaNnauye alipokuwa Katibu Mwenezi wapinzani wake binafsi na waliokuwa nje ya mstari wa Mwenyekiti, hususani Lowasa walikiona cha moto...
Pichani amenukuriwa akiiongelea tena vita hii tuliyokuwa tunaanza kuisahau:
Ikumbukwe kinara wa vita hii alikuwa hayati Magufuli.
Bila shaka safari hii hatutaachana gizani, bali tutafikia...
Unajua huu mradi unapigwa vita sana, why?Naona hadi kina nape na makamba hawakubali huu mradi ila ndo basi tena
Huu mradi unapigwa vita sana hadi na watu wa upinzani kwanini?
Nashindwa kuelewa...
Labda kwa vijana waliozaliwa majuzi hawawezi kujua hii fact.
Huko nyuma CCM ilikuwa ni mali ya umma. Ilimilikiwa na wakulima na wafanyakazi kwa manufaa ya taifa letu.
Uongozi ndani ya CCM...
Ni miaka 60 sasa tangu Taifa letu pendwa kujipatia uhuru wake toka kwa watu wasiostaarabika wa zamani hizo. Leo hii tunapoadhimisha miongo 6 ya uhuru, umoja, amani na mshikamano kuna watu wazima...
CCM wakiacha Polepole akaendelea kutamba kwa ujasiri na msimamo alionao basi hakika itameguka kipande kikubwa maana nguvu ya upinzani inamega hapa na wanamuacha Polepole anamega kule
KAZI IENDELEE.
Huu ushauri wangu hauhusishi wanasiasa njaa/ Wanasiasa Maslahi, bali wanasiasa kweli wenye uchungu na nchi yao. Waliopo kwenye siasa kwa dhumuni la kuleta itikadi mbadala inayoenda kuleta...
Benito Amilcare Andrea Mussolini alizaliwa mwaka 1883 na kufariki mwaka 1945. Mwanzoni alikuwa ni mwanamapinduzi ya kijamaa.
Nchi ya Italia ilipoingia kwenye mgogoro wa kisiasa mwaka 1922...
leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar uliopatikana tarehe 10 December 1963.
Hivi CCM wanafaidika na nini kuendelea kuhubiri uwongo na kutokubali kuutambua?
Happy Independence Day
Huyu ni mtu mwenye kisasi na roho ngumu sana.Amekunywa damu ya mwana wa Saa8 na yule "SHIHATA" wa Kibiti.Hii imekuwa tabia yake,hajatosheka na kiwango cha bilauli za damu alizokwisha chota na...
Leo nimefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ambae amenitembelea katika makazi yangu Osterbay Jijini Dar es Salaam.
Maana hizi sherehe kubeba jina la Uhuru wa Tanzania huwa ni batili waandalizi inafaa wafunguliwe mashtaka kwa kutumia Jina la Tanzania kuchota hela na kusheherekea Uhuru wa nchi ambayo ilishafutwa...
Chifu Jacob Kileo anasimikwa kuwa Mangi mkuu wa Siha siku ya tarehe 17/12/2021.
Tukio hilo litashuhudiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Wakuu wote wa wilaya za Kilimanjaro, Mkuu wa KKKT askofu...
Kama ntakua sahihi Kwa takilibani miaka miwili au nitatu iliyopita CCM ilibadilisha baadhi ya kanunu za uchaguzi ndani ya chama lengo likiwa ni kumuepusha JPM na upinzani wa akina Benard...
#NUKUU "Bahati mbaya mimi siko mitandaoni na kuhusu wanaonibeza, mimi nitazungumza kuanzia Ijumaa, sasa hivi bado nasoma tu hayo mambo yao wanayoyaandika,"- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph...
Tunakumbushana tu kwamba hata mawaziri wawili Yona na Mramba waliwahi kufungwa jela zama za awamu ya 4.
Hivyo lolote likitokea kwa Freeman Mbowe hakutakuwa na jipya!
Sabato njema!
Sijui nini kinaenda kuongelewa hapo baada na Mh Polepole lakini kiuhalisia Polepole kwake siasa ni itikadi sio sehem yakutafutia shibe yake, Humphrey Polepole kwa itikadi yake sio rahisi kufanya...