Sala za Mbowe kwa Rais Magufuli

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,823
35,829
Hapa Mh. Mbowe akiongoza sala. Hii ikiwa ni pamoja na kumwombea yote ya kheri Rais Magufuli katika utendaji wake:

Hapa mwamba alikuwa katika ubora wake, kwa maana imeandikwa:

"Ombeaneni ninyi kwa ninyi."

Mbowe aliwaombea mema hata waliokuwa watesi wake. Uthibitisho wa wazi kuwa Mh. Mbowe si mtu wa visasi.

Eeh Mola wetu umlinde na kumfanyia wepesi mja wako huyu kokote kule aliko.
 
Mimi binafsi sijawahi ku doubt uzalendo wa ndugu huyu pamoja na kuwa ni upinzani, mara zote amekuwa composed na mwenye busara nyingi kwenye uongozi...Personal life yake siingizi hapa nasema yeye kama kiongozi...Sijawahi kuwa mnafiki naomba Mungu nisijekuwa hata siku moja
 
Kabisa, hakukuwa na haja ya kupinga kila kitu just kwa kuwa ni wapinzani.
Magufuli alipishana na upinzani pale alipoona wanaoshirikiana na majizi yetu.
Magu alifahamu michezo yote hivyo yeyote alisisima katikat ya nia yake njema alichukua hatua stahiki.
Ila bado naamini Mbowe ananafasi ya kuliponya taifa maana hali ilivyo CCM waliona na nguvu kipindi hichi (Makamba&co) ni laana kwa taifa
 
Viongozi wengi wa upinzani awamu ya tano wametumiwa sana na mabeberu.
 
Kabisa, hakukuwa na haja ya kupinga kila kitu just kwa kuwa ni wapinzani.

Si sahihi kudhani wapinzani wanapinga kila kitu. Fikra za kuwa wapinzani wanapinga kila kitu ni potofu.

Kuwapo kwa wasaa wa kubadilishana mawazo wa ana kwa ana kungeweza kusaidia kuondoa dhana potofu hizi.
 
Viongozi wengi wa upinzani awamu ya tano wametumiwa sana na mabeberu.
Huo ni ukweli baada ya kuona hoja zao hazipiti ikulu kama ilivyokuwa awamu ya nne au sasa hivi kwa Bibi Hangaya waliamua kutafuta njia mbadala.
 
Si sahihi kudhani wapinzani wanapinga kila kitu. Fikra za kuwa wapinzani wanapinga kila kitu ni potofu.

Kuwapo kwa wasaa wa kubadilishana mawazo wa ana kwa ana kungeweza
kusaidia kuondoa dhana potofu hizi.
Mkuu, nikumbushe lini upinzani mlimuunga mkono JPM.
 
Hapa Mh. Mbowe akiongoza sala. Hii ikiwa ni pamoja na kumwombea yote ya kheri Rais Magufuli katika utendaji wake:

View attachment 2037594

Hapa mwamba alikuwa katika ubora wake, kwa maana imeandikwa:

"Ombeaneni ninyi kwa ninyi."

Mbowe aliwaombea mema hata waliokuwa watesi wake. Uthibitisho wa wazi kuwa Mh. Mbowe si mtu wa visasi.

Eeh Mola wetu umlinde na kumfanyia wepesi mja wako huyu.
Mheshimiw Mbowe akiwa na Shetani siku hiyo
 
Back
Top Bottom