Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi tuko Live Karibuni Paskali Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako...
6 Reactions
68 Replies
52K Views
Kwa muda mrefu hawa wapiga debe wamekuwa sio tu kero bali pia wanaongeza kupanda kwa nauli za mabasi. Yaani hata wenye vyombo vya usafiri twawaogopa. Hata ukiwa na gari yako binafsi huwezi...
2 Reactions
14 Replies
965 Views
BASHE: SERIKALI KUUNGA MKONO SEKTA BINAFSI KATIKA UZALISHAJI WA MBOLEA NCHINI Dodoma, Naibu Waziri wa Kilimo *Mhe. Hussein Bashe mapema leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena. CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Katiba yetu hii mbovu ktk ibara ya 52 (2). (..)Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi, kuwa waziri Mkuu (..) N.B. Kila kwenye (..) kuna maneno...
39 Reactions
99 Replies
9K Views
Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nadhani kuna zuio la kuingiza mafuta kutoka nje ya nchi jamani zuio hili kama lipo liondolewe maana hali saivi ni hatari sio siri jana nimeuziwa mafuta ya kula lita moja 7500/= nimeshangaa sana...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, anaendelea kutakata na kuitakatisha Tanzania. Amejibu ombi la muda mrefu la watu wengi, kuhusu kuitenganisha Wiazara ya Afya na idara nyingi zilizokuwa chini yake. Rais...
7 Reactions
73 Replies
6K Views
Serikali imekamilisha ujenzi wa nyumba za gharama nafuu katika mji unaokua wa kasi na wenye International Airport (Chato Geita). Wananchi changamkieni fursa hii
5 Reactions
54 Replies
15K Views
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!" Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI...
17 Reactions
198 Replies
10K Views
Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe. Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Mosi, kuna azimio linalosema sasa uwekwe utaratibu wa Baraza la Vyama kutatua migogoro ndani ya vyama. Pili, uwekwe utaratibu wa vyama kuadhibiana unapokiuka utaratibu wa mikutano ya hadhara...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case. Hapa issue si hiyo $10 but how tuna...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesitisha kwa Muda Matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Ukusanyaji wa Ada za Maegesho ya Magari Unaosimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Leo kuna kongamano kubwa la makanisa ya Pentecoste ambapo mgeni rasmi ni waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene. Katika kongamano hili mchungaji Mashimbo amejilipua kwa kumwambia Waziri...
10 Reactions
364 Replies
17K Views
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu; Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu...
74 Reactions
91 Replies
9K Views
"Kuna gharama kubwa ya kuwa shujaa" Kesi ya Mbowe ilipoanza tulisikia watu mbalimbali wakihudhuria mahakamani na wengine kushinikiza aachiwe, tulishuhudia mabalozi kutoka nchi za Marekani...
2 Reactions
8 Replies
908 Views
Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani: Kwa hakika mtenda mema hajifichi. Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu. Eeh mola wetu umpishilie mbali...
47 Reactions
71 Replies
7K Views
Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa...
2 Reactions
84 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…