MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Jamani wakati mwingine kama mtu hujui kitu ni bora kukaa kimya tu!
Huyu Juma Nkamia asitake kuudanganya umma kuwa eti bunge la Uingereza halioneshwi live! Huu ni uongo kuongea kitu ambacho mtu hakijui kwa kujipendekeza tu.
Yeye kufanya kazi kama kibarua BBC (kwa mujibu wa hotuba ya KUB 2013) haimaanishi kuwa unaweza kusema lolote kuhusu bunge la Uingereza.
Shule ni kitu muhimu sana, NAPE NNAUYE alisema kuaw kipindi chote ambacho TBC hsioneshi matangazo ya biashara huwa wanaonesha matangazo ya bunge na kulisabibishia shirika hilo la umma hasara.
Nkamia na Nape watuambie ni muda gani BBC huwa wanaonesha matangazo ya biashara? Amewahi kusikia wapi BBBC linajiendesha kwa hasara au kwa faida.