Tetesi: Mpango wa Bulembo na wenzake dhidi ya walionunuliwa na Polepole waiva. Muda si mrefu mikeka itatangazwa upya, wenye CCM wajipanga

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Hii ni habari ya kweli Nina toa rah kwa taaasisi za kifedha zote nchibi kama Kuna mpinzani alinunuliwa na Yule kiroboto wakishirikiana na Bashiru na mwendazake muda ujao mambo yatakuwa Bam bam!

Kwa habari za chini ya kapeti zinaonesha yakuwa Mwenyekiti wa CCM Ili aweze kupona lazima awaruidishe akina nape na wenzake haraka kamati kuu ya ccm vinginevyo vikao vijavyo mambo yatakuwa Bam Bam maana walionunuliwa wote watapigwa chini kuanzia ubunge mpk ukuu wa wilaya ukurugenzi wapo watakao poteza mpk uwaziri.

Pole mwita popote ulipo pamoja na akina sijui Lijualikalu na wenzake
 
Kwa habari za chini ya kapeti zinaonesha yakuwa Mwenyekiti wa ccm Ili aweze kupona lazima awaruidishe akina nape na wenzake haraka kamati kuu ya ccm vinginevyo vikao vijavyo mambo yatakuwa Bam Bam maana walionunuliwa wote watapigwa chini kuanzia ubunge mpk ukuu wa wilaya ukurugenzi wapo watakao poteza mpk uwaziri.pole mwita popote ulipo pamoja na akina sjui lijualikoro na wenzake
Polepole hajanunua mtu. Watu walinunuliwa na Magufuli kwa niaba ya CCM. Na kwa kuthibitisha hilo, baadhi ya walionunuliwa wameteuliwa na Mama Samia kwenye nyadhifa mbalimbali. Acheni utoto 😡
 
Nape, Bulembo, Chegeni walijifungia sehemu tulivu, wakapekua makabrasha yao ya "propaganda" na kisha wakaja na mbinu kali sana ya kuwaziba midomo akina Polepole nayo ni......"mabibi na mabwana, mbinu yetu ni kutaja watu walionunuliwa na Bashiru na Poleole!!!" AIBUUU!

siogopi.jpg
 
sifi leo Jitahidi ku - edit post zako kabla ya kuposti..

Mtoa mada siku zote ndiye mwenyekiti Wa kuongoza mjadala..

Mada inapokuwa ina makosa ya kisarufi/spelling kwa baadhi ya maneno, inakosa radha, mvuto na mantiki...

Nimeona posts zako kadhaa kuna makosa mengi ya kisarufi kuanzia kwenye heading hadi kwenye ufafanuzi wa maudhui (contents)..

Pls, don't get offended for this. Nia yangu ni njema..
 
Mkuu ninakili kuwa na changamoto hiZo ninakuaidi kabsa kujirekebisha na nimekuelewa vizuri sanaaa Asante kwa kunielewesha mkuu nakuaidi kuimprove.
 
Itatue changamoto hiyo kwa kufanya hivi...

Ukimaliza kuandika (typing), kabla ya ku - click kitufe cha "POST", pitia kwanza andiko lako lote neno kwa neno, paragraph kwa paragraph na utaona kila typing error na kusahihisha...

Baada ya hapo, bonyeza kitufe cha " POST" na mambo yanakuwa perfect kabisa na hata kama kutakuwa na makosa ya kiuandishi, basi yatakuwa ni kidogo yasiyo na athari kubwa na yanayoeleweka...

Asante..
 
Hii ni habari ya kweli Nina toa rah kwa taaasisi za kifedha zote nchibi kama Kuna mpinzani alinunuliwa na Yule kiroboto wakishirikiana na Bashiru na mwendazake muda ujao mambo yatakuwa Bam bam!

Kwa habari za chini ya kapeti zinaonesha yakuwa Mwenyekiti wa ccm Ili aweze kupona lazima awaruidishe akina nape na wenzake haraka kamati kuu ya ccm vinginevyo vikao vijavyo mambo yatakuwa Bam Bam maana walionunuliwa wote watapigwa chini kuanzia ubunge mpk ukuu wa wilaya ukurugenzi wapo watakao poteza mpk uwaziri.pole mwita popote ulipo pamoja na akina sjui lijualikoro na wenzake

Ni Kama Chama Kilitekwa Ivi
 
Wanamsingizia pole pole wakati jiwe kila akitaka Jambo hata Samia hakukataa, Sasa Kama Majaliwa tu alipigwa mkwara ndo ije utumwe ukanunue mtu ugome, ndugai alimfata msigwa ametumwa na Magu kumnunua mbona jobu hakukataa, hata aliowapa ubunge kina mdee ni Magu
 
Itatue changamoto hiyo kwa kufanya hivi...

Ukimaliza kuandika (typing), kabla ya ku - click kitufe cha "POST", pitia kwanza andiko lako lote neno kwa neno, paragraph kwa paragraph na utaona kila typing error na kusahihisha...

Baada ya hapo, bonyeza kitufe cha " POST" na mambo yanakuwa perfect kabisa na hata kama kutakuwa na makosa ya kiuandishi, basi yatakuwa ni kidogo yasiyo na athari kubwa na yanayoeleweka...

Asante..
Usitegemee mtu kama huyo kurekebishika isipokuwa kwa kusaidiwa uhariri na mweledi wa lugha
 
Wanajulikana, hakuna sababu ya kuwataja
Ila kinachofikirisha, kwanini wakati ule kila mmoja alifurahia na kusema chama kinarejesha heshima yake?
 
Polepole hajanunua mtu. Watu walinunuliwa na Magufuli kwa niaba ya CCM. Na kwa kuthibitisha hilo, baadhi ya walionunuliwa wameteuliwa na Mama Samia kwenye nyadhifa mbalimbali. Acheni utoto 😡
Na wewe kipindi Cha kampeni za 2015 wewe ulinunuliwa na Kinana umpigie kampeni Magufuli mitandaoni,ulivyorushwa hela yako na Kinana ndio ukajifanya unaanza kupiga kelele kumponda Magu.Nyie wote Ni 'malaya' wa kisiasa tu maana mnanunulika tu.
 
Hii ni habari ya kweli Nina toa rah kwa taaasisi za kifedha zote nchibi kama Kuna mpinzani alinunuliwa na Yule kiroboto wakishirikiana na Bashiru na mwendazake muda ujao mambo yatakuwa Bam bam!

Kwa habari za chini ya kapeti zinaonesha yakuwa Mwenyekiti wa CCM Ili aweze kupona lazima awaruidishe akina nape na wenzake haraka kamati kuu ya ccm vinginevyo vikao vijavyo mambo yatakuwa Bam Bam maana walionunuliwa wote watapigwa chini kuanzia ubunge mpk ukuu wa wilaya ukurugenzi wapo watakao poteza mpk uwaziri.

Pole mwita popote ulipo pamoja na akina sijui Lijualikalu na wenzake
Hakuna Mzee yeyote,mstaafu yeyote mwenye mamlaka ya kumtisha Rais/mwenyekiti wa chama tawala labda tu yeye atake.

Yaani hao wazee saiv ndio wawe na uwezo wa kumfanya Mwenyekiti wa chama tawala apone,au ashindwe kufanya mambo yake?
Wao ni kama washauri tu wakizingua wanapigwa pembeni
 
sifi leo Jitahidi ku - edit post zako kabla ya kuposti..

Mtoa mada siku zote ndiye mwenyekiti Wa kuongoza mjadala..

Mada inapokuwa ina makosa ya kisarufi/spelling kwa baadhi ya maneno, inakosa radha, mvuto na mantiki...

Nimeona posts zako kadhaa kuna makosa mengi ya kisarufi kuanzia kwenye heading hadi kwenye ufafanuzi wa maudhui (contents)..

Pls, don't get offended for this. Nia yangu ni njema..
kweli nyani haoni kundule.
radha×
ladha✅
 
Mkuu ninakili kuwa na changamoto hiZo ninakuaidi kabsa kujirekebisha na nimekuelewa vizuri sanaaa Asante kwa kunielewesha mkuu nakuaidi kuimprove.
Bado makosa yale yale: ninakili badala ninakiri; ninakuaidi badala ya ninakuahidi. Jitahidi mkuu muda bado unao.
 
Back
Top Bottom