Vitimbwi ndani ya CCM kwa sababu mama ni Mzanzibar?

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Minyukano ndani ya CCM ni mchezo wa kuigiza ili kumpoteza mama asifanikiwe. Wabara wanaigiza ili kumpoteza mama

Huu mnyukano unadhihirisha wabara tunavyotaka kumyumbisha Mama wa Zanzibar

Hapa mama ameishaelewa haya makundi yanayonyukana ndani ya ccm yana taswira ya kumkwamisha mbio za uchaguzi 2025

Hapa mama uelewe kuwa 2025 una kazi ngumu sana kufanya kampeni bara

Wabara wanapenda kujimwambafai na wanachokifanya ni kutaka kukuweka pembeni

Hatujawahi kusikia ccm Zanzibar wanarushiana maneno kisa utawala wa bara

Lakini Ccm Bara wana siri nzito dhidi yako

Time will tell !

Dawa katiba mpya# Serikali 3
 
Mama hajaonyesha msimamo wowote akiwa kama mwenyekiti wa chama.
Anaacha mapambano yaendelee,asiwachekee inabidi aonyeshe makali ya makuvha yake kabla watu hawajapigana risasi.
 
Kwakweli mama anayumbishwa makusidi. Mkaba wa siri wa almagedon ulishaamua urais wa muungano utamilikiwa na pande mbili tuu. 1. Wakatoliki wa bara. 2. Waislam wa bara. Nasisitiza ni wakatoliki na sio wakristu kwa miaka miamoja. Tuvumiliane tuu
 
Busara na hekima za Rais SSH na ukimya wake ndo vinavyowachanganya wengi tulizoea majigambo na vitisho vingi vikatuaminisha kazi inafanyika kumbe propaganda tu. Uhuru tunauona sasa kazi zinaonekana sio za kujitangaza kwenye media saa zote. Tumwache Rais afanye kazi. Kazi iendelee
 
Minyukano ndani ya ccm ni mchezo wa kuigiza ili kumpoteze mama asifanikiwe .Wabara wanaigiza ili kumpoteza mama

Huu mnyukano unadhihirisha wabara tunavyotaka kumyumbisha Mama wa Zanzibar

Hapa mama ameishaelewa haya makundi yanayonyukana ndani ya ccm yana taswira ya kumkwamisha mbio za uchaguzi 2025

Hapa mama uelewe kuwa 2025 una kazi ngumu sana kufanya kampeni bara

Wabara wanapenda kujimwambafai na wanachokifanya ni kutaka kukuweka pembeni

Hatujawahi kusikia ccm Zanzibar wanarushiana maneno kisa utawala wa bara

Lakini Ccm Bara wana siri nzito dhidi yako

Time will tell !

Dawa katiba mpya# Serikali 3
Huyo mama akitangaza kwamba yeye ni "Mbara", mara moja utaipeleka mada yako iwe: "Mfumo dume ndani ya CCM unamzonga kwa vile ni mwanamke"

Mada nyingine ni za kipuuzipuuzi tu!
 
Minyukano ndani ya ccm ni mchezo wa kuigiza ili kumpoteze mama asifanikiwe .Wabara wanaigiza ili kumpoteza mama

Huu mnyukano unadhihirisha wabara tunavyotaka kumyumbisha Mama wa Zanzibar

Hapa mama ameishaelewa haya makundi yanayonyukana ndani ya ccm yana taswira ya kumkwamisha mbio za uchaguzi 2025

Hapa mama uelewe kuwa 2025 una kazi ngumu sana kufanya kampeni bara

Wabara wanapenda kujimwambafai na wanachokifanya ni kutaka kukuweka pembeni

Hatujawahi kusikia ccm Zanzibar wanarushiana maneno kisa utawala wa bara

Lakini Ccm Bara wana siri nzito dhidi yako

Time will tell !

Dawa katiba mpya# Serikali 3
Ndio maana yake

Hata askari walimuita ni mwarabu
 
Yaani asavali Polepole asingeanika uhuni wa wahuni Ghetoni kwake!
... yaani sasa habari mitandaoni ni 'KY JELLY' kwenda mbereee!
1639402055956.png
 
Minyukano ndani ya ccm ni mchezo wa kuigiza ili kumpoteze mama asifanikiwe .Wabara wanaigiza ili kumpoteza mama

Huu mnyukano unadhihirisha wabara tunavyotaka kumyumbisha Mama wa Zanzibar

Hapa mama ameishaelewa haya makundi yanayonyukana ndani ya ccm yana taswira ya kumkwamisha mbio za uchaguzi 2025

Hapa mama uelewe kuwa 2025 una kazi ngumu sana kufanya kampeni bara

Wabara wanapenda kujimwambafai na wanachokifanya ni kutaka kukuweka pembeni

Hatujawahi kusikia ccm Zanzibar wanarushiana maneno kisa utawala wa bara

Lakini Ccm Bara wana siri nzito dhidi yako

Time will tell !

Dawa katiba mpya# Serikali 3
Ndiyo maana Mama tangu alipoingia ikulu alikosea sana tena sana kutanguliza udhaifu wa uanawake. Hakupaswa kuonesha hilo kwa sababu hakuna anasiyejua kuwa yeye ni mwanamke. Pili alikosea sana tena sana kujaribu kutengeneza mtandao wake wa urais 2025 wakati ambao ni wa maombolezo, timu ile ya 2020 ya urais alipaswa kuiacha (rejea mzee wa mikakati Dkt JK na Apson). Baada ya hapo angekemea kumdhihaki Dkt Magufuli. Then angetulia kama alivyofanya mke wa TB Joshua, the angekuja kuibuka na mabadiliko yake. Lakini sasa yeye kajipambanua anatengeneza timu ya ushindi ya 2025 wakati timu ya ushindi anayo ya 2020. Na kibaya hiyo timu mpya haiwezi kamwe kuwa tiify kwake kwa sababu mpaka sasa ina mdharau sana kwa kufanya au kuzusha vitu ili atoke kwenye mstari. Ila bado anao muda, akiweza kujeza karata vizuri na timu ya 2020 anaweza kurejea kwenye mstari. Timu ya Dkt JK haina ushawi kabisa Tanzania. Dkt JK aliheshimika tu kwa sababu pamoja na yeye kutaka membe awe rais alisimamia Dkt Magufuli akawa rais, na kwa hilo wananchi wanamshukuru sana na kumbariki.
 
Mama hajaonyesha msimamo wowote akiwa kama mwenyekiti wa chama.
Anaacha mapambano yaendelee,asiwachekee inabidi aonyeshe makali ya makuvha yake kabla watu hawajapigana risasi.
Namshauti awaache wauane wenyewe ili abaki peke yake apite kirahisi
 
Akatawale kwao Zanzibar atuachie Tanganyika yetu pia anazinguliwa kwa sababu ya matendo yake sio uzenjibia wake

Namshauti awaache wauane wenyewe ili abaki peke yake apite kirahisi
Uendawazimu ni wa aina nyingi. Hivi pale Wabara walipotawala ulisema wakatawale kwao Bara? Anayeongoza sasa ni Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar. Yuko huko ardhi ya Bara kwasabababu makao makuu ya Jamhuri yako Bara. Yakihamishiwa Zanzibar atakuwepo Zanzibar. Tulia sindano ikuingie hatoki mtu hapa!
 
Tena aondoke aende zake mwanakwerekwe akapale
Minyukano ndani ya ccm ni mchezo wa kuigiza ili kumpoteze mama asifanikiwe .Wabara wanaigiza ili kumpoteza mama

Huu mnyukano unadhihirisha wabara tunavyotaka kumyumbisha Mama wa Zanzibar

Hapa mama ameishaelewa haya makundi yanayonyukana ndani ya ccm yana taswira ya kumkwamisha mbio za uchaguzi 2025

Hapa mama uelewe kuwa 2025 una kazi ngumu sana kufanya kampeni bara

Wabara wanapenda kujimwambafai na wanachokifanya ni kutaka kukuweka pembeni

Hatujawahi kusikia ccm Zanzibar wanarushiana maneno kisa utawala wa bara

Lakini Ccm Bara wana siri nzito dhidi yako

Time will tell !

Dawa katiba mpya# Serikali 3
 
Sidhani kama ccm kuna mnyukano wowote uke. Kinachoendelea ni matokeo ya usajili mbovu uliofanywa na mwendazake kiasi cha kuingiza watu wenye kaliba ya kiburundi katika Chama. Watu hao wameonjeshwa pepo lakini kea kuwa hawakukulia chamani hawajui kwamba ndani ya ccm, pepo ni kea zamu. Hivyo kinachoendelea ni kutoamini au kupata tabu kuelewa falsafa ya ccm kuwa pepo kwa zamu.
 
Back
Top Bottom