Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
Juzi katika kikao cha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wadau wa demokrasia iliibuka tafrani kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuwa Zito alimuombea Msamaha kwa Rais Mheshimiwa Mbowe.
Jambo lile lilipingwa na kila mtu mwenye akili timamu kwa sababu kwa katiba yetu Rais hana mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa ambae kesi yake inaendelea Mahakamani.
Viongozi mbalimbali wa Chadema kama vile Mheshimiwa Tindu Lisu pia walipinga msamaha ule kwa kile nilichoeleza hapo juu kwamba kwa mujibu wa katiba yetu Rais hana mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa ambae kesi yake inaendelea mahakamani.
Kuna kundi dogo la watu wenye akili fupi hasa kutoka CCM ambao waliunga mkono wazo la kusamehewa Mheshimiwa Freeman Mbowe bila ya kuangalia katiba yetu inasemaje.
Sasa leo nimewaletea video fupi ya Mheshimiwa Freeman Mbowe ambapo katika video hiyo anatoa msimamo wake juu ya masuala hayo.
Ukiangalia video hii utagundua ni nani yupo sahihi kati ya Zito aliekuwa anamuombea msamaha mheshimiwa freeman Mbowe,kikundi cha wale watu waliounga mkono wazo lile na watu ambao walipinga suala la kuombewa msamaha Mheshimiwa Freeman Mbowe kama vile Lissu na wanachama wa chadema.
Karibuni kuangalia video hii ili mpate kujua msimamo wa Mheshimiwa Freeman Mbowe kutoka kwake yeye mwenyewe.