Tufanye gwajima anavuliwa ubunge, je ni nani wa chama gani unadhani atamrithi!!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
Ndugu wanabodi naomba niwaulize swali la mtazamo tu. Na hii ni kutokana na waswahili wasemao dalili ya mvua ni mawingu, kwamba kutokana na maamuzi ya vikao vya ccm leo ikiwa vitaamua mbunge wa kawe avuliwa ubunge wake na kutokana pia na historia ya kisiasa ya jimbo la kawe unadhani ni chama gani kina nafasi nzuri ya kunyakua jimbo hilo!?
Kwa upande mwingine unadhani ni nani ananafasi nzuri ya kunyakua hicho kiti!?

1 Gwajima mwenyewe abadili chama aende chadema
2 Halima mdee aipigie magoti chadema au aende act.
3 Furaha ccm
4 Pascal mayala ajaribu bahati nyingine ila atafute chama.

Nini maoni YAKO!?
 
Rafiki yake #4
 
Upepo unaelekea kwa Anjela Kiziga, mshindi wa pili kura ya maoni kipindi kile. Furaha hana godfather kwa sasa, aachane na hilo wazo.
 
Asije CHADEMA sisi hatushiriki upumbavu wowote chini ya tume hii ya mabegi.
 
Hamuoni kwamba kutoshiriki kunakidhoofisha chama msipoangalia inawezekana kufikia wakati mtakapokuwa tayari kuushiriki na ngome zenu zoote zimepukutika!?
 
Back
Top Bottom