johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,879
Kwa namna nilivyoisikiliza hotuba ya Rais Samia leo naona ni kama Halima Mdee na wenzake kwa sasa wamekalia kuti kavu.
Ni kwamba Chadema watekeleze matakwa ya demokrasia kwa kusikiliza rufaa za wabunge hao halafu tuone kama Spika Ndugai hatayaheshimu maamuzi yao.
Kazi Iendelee
Ramadhan Kareem!
Ni kwamba Chadema watekeleze matakwa ya demokrasia kwa kusikiliza rufaa za wabunge hao halafu tuone kama Spika Ndugai hatayaheshimu maamuzi yao.
Kazi Iendelee
Ramadhan Kareem!