Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia.
Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka akaunti hizi ndizo zilizotumika akiwa msemaji Mkuu au Mkurugenzi Mkuu mawasiliano ya Rais .Means hata baada ya kuachia hiyo nafasi Bado akaunti yake inawafuasi.
Kosa analofanya,may be he is frastrated ni kutumia akaunti yake kupost 90% ya personal issues na 10% mambo ya Serikali.
Niombe tupitie account zake Tuone anachofanya ndicho alichotumwa na Mhe. Rais? Naamini wapo watu wake wa karibu wanakereka na wamekaa kimya wanasubiri atumbuliwe waanze kusema tulijua TU.
My brother, at your age and at that post your freedom is much occopied by public responsibility more than personal matters; don't wait for more walkup call , change: Behave and post at your character age.
All the best my brother,