Ni lini Rais utaongea nasi, mbona bei ya vitu imepanda hivi au huna taarifa?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Hivi ni kweli kuwa Huna Taarifa Kama Simenti Leo huku Mara ni Tshs 25,000, Nondo ni Tshs 28,000, muda huo huo upande wa pili hapo kwa ndugu zetu Simenti ni Tshs 12,000 Nondo Tshs 16,000, Ni nini kimeikumba hii nchi?

Je, tuwaunge mkono wakenya, tususe kununua vya kwetu? Tahadhari ni kwamba hizo bidhaa 2 zinaingia huku kwetu kwa Magendo kama karanga, hebu mtwambie ndo tunaupiga mwingi hivyo?

Tumevamiwa hadi kwenye maembe, kwenye dagaa ndo usiseme sasa, miezi michache nyuma mgeni kununua dagaa ilikuwa aende kwenye masoko yetu mfano mwanza Kwa sasa hao wageni wamepiga kambi kwenye visiwa vya dagaa wananunua wenyewe.

Samaki ambao muda mfupi uliopita walikuwa wengi lkn Kwa sasa Ile adha ya kuwaua na sumu imerudi pale pale.Hebu mama ongea nasi utwambie tufanye nini.
 
Kumbuka kauli ya mzee Jomo Kenyatta kwamba "rais wa Tanzania anaongoza maiti (watu wasioweza kupigania haki zao)".

Sasa unataka mama aongee na maiti??

20210813_140553.jpg
 
Back
Top Bottom