IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

Nsumba-ntale

Member
Joined
May 24, 2026
Posts
15
Reaction score
80
IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema

"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita

 
Wakishafikia stage ya kutoa ya moyoni maranyingi huwa hawamalizi mwaka wanakufa
Mshana, Mahita akiwa nje ya Gwanda ni mtu mmoja safi sana, tokea akiwa IGP. Ila alipokuwa kazini amevaa Gwanda ahhh ni kauzu.

Miaka fulani huko nlichezaga faulo fulani sasa nikasema niende nikamuone tuone namna ya kulimaliza; nikampigia simu kweli akanipa appointment maana alishanijuwa mimi mtoto wa mzee fulani maana si alikuwa anajuana na mzee.

Mzee alimjua Mahita tokea yuko Mwadui, Mkuu wa police post huko Mwadui na mzee wangu Mwadui mine alikuwa taita.

Sasa kosa langu nlimzunguka mzee wangu nkamfata mzee Mahita bila mshuwa kujua.

Ahh kumbe Mahita alimtonya mzee mwanao kaja alikuwa na 1,2,3 😄 msala
Mzee Mahita akanisikiliza, ahh nlijikuta napelekwa central 😄 pale nlikaa siku 3 baadae nkatolewa.

Badaye mambo yalimalizwa juu juu ila adabu walinionjesha, nkajua mshuwa ndiye aliagiza waninyooshe

Ova
 
Anaaga Tu Ndani Muda Mfupi Utasikia Mzee Hali Kitu
Ana Tatizo Pia Wamzuie Asiende Kwenye Media Ataivua Nguo Serikali Zaidi Ya Aliyoyaongea
Nature yake ni muongeaji sana huyu na wanavyo mpa
Mic 😄 ana stori nyingi
Kwa wali bahatika kuonana
Na kukaa naye wanalitambua hili 😄
Uzuri watu,ndugu ahh huwa hawatupi kila sehemu lazima atatimba 😄

Ova
 
Mshana mahita akiwa nje ya
Gwanda ni mtu mmoja safi sana,tokea akiwa IGP
Ila alipokuwa kazini amevaa
Gwanda ahhh ni kauzu
Miaka fulani huko nlichezaga faulo fulani sasa nkasema niende nkamuone tuone namna ya kulimaliza nkampigia sim kweli akanipa appointment maana alishanijuwa mm mtoto wa mzee fulani maana si alikuwa anajuana na mzee,maana mzee alimjuwa mahita tokea yuko mwadui
Mkuu wa police post huko 😄 mwadui na mzee wangu mwadui mine alikuwa taita
Sasa kosa langu nlimzunguka mzee wangu nkamfata mzee mahita bila mshuwa kujuwa
Ahh kumbe mahita alimtonya mzee mwanao kaja alikuwa na 1,2,3 😄 msala
Mzee mht akanisikiliza,ahh nlijikuta napelekwa central 😄 pale nlikaa siku 3 bdy nkatolewa
Badaye mambo yalimalizwa juu juu ila adabu walinionjesha,nkajuwa mshuwa ndy aliagiza waninyooshe

Ova
Ila GT umepitia mengi bongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom