Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii tabia ya kusimamisha mabasi kabla ya kutoka manyoni ukiwa unatoka Dodoma mpaka yafike 15 halafu mna aescort kwa kilometa kadhaa then wanaachiwa huko wapambanie msubiri ajali mbaya ya kugongana...
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Rais Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC), Dkt. Saleh Yussuf Mnemo leo Januari 03, 2022 Dkt. Mnemo aliteuliwa kuhudumu nafasi hiyo Mwezi Mei 2021
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi...
15 Reactions
166 Replies
11K Views
Natumah mpo salama, kwanza niwatakie kheri ya mwaka mpya wote niliowataja hapo juu. Niende kwenye hoja,Taifa la Tanzania Nina imani mtanikosoa, kama sitokuwa sawa ila katika tawala hasa tawala za...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nachojua ayubu na wote walio nyuma au mbele yake hawatakubali. Nahivi wanajua bimkubwa anachungulia mitandaoni sana ukiwemo hapa Jf tujiandae kupokea wageni lkn wenyeji sana hapa. Kama sio kwa...
2 Reactions
4 Replies
750 Views
Unaweza ukamuona PM Majaliwa kama mtu ambaye hana muelekeo kisiasa, au hana nguvu sana kama zinavyohitajika ktk nchi hii, lakini kwa mtazamo wangu ktk nafasi yake ya PM, ameweza kuwa mtu ambaye...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Mama sasa katumbua jipu, wala hajapepesa macho. Mzanzibar katoa ya moyoni mwake. Ndugai kama ana akili nzuri atajitoa kwenye kiti
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Wadau kumekuwa na nguvu kubwa inayotumiwa na watawala kupitia jeshi la polisi kuwakamata wananchi wanaodai katiba mpya. Najiuliza kama wananchi walishirikishwa kutoa maoni na mapendekezo yao...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu Mheshimiwa Rais, Mama Samia, najua unasomoga humu, au kama husomagi najua wapo wanaokusomeaga comments za humu za watapika nyongo. Niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari hapo juu...
0 Reactions
2 Replies
510 Views
Ujue Wa Africa sijui aliye turoga amefia wapi, kwani ni lazima tuige wanachofanya wazungu? Haya mambo ya usawa yanatuchelewesha sana, tutaendelea kuwa hivi mpaka siku tutakayo tambua kinacho mata...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza kabisa walaumiwe walioliharibu Bunge...hapa list ni ndefu ila Spika Ndugai hawezi kukwepa hizi lawama, pamoja na Polepole, Bashiru, Mwendazake, n.k Hawa wamesababisha majadiliano...
20 Reactions
77 Replies
6K Views
MALUMBANO YOTE MSINGI WAKE MKUU NI KATIBA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na majibizano na hoja nyingi zinazoibuliwa na baadhi ya watu Mashuhuri. Majibizano haya yamezua mijadala mikubwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa! Sasa mchezo unaanza rasmi... ...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado...
31 Reactions
135 Replies
9K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021...
11 Reactions
298 Replies
16K Views
Gazeti la the citizen leo limekuja na taarifa inayoonyesha kuwa Tanzania imetajwa na tovuti moja kutoka Marekani kuwa ni moja ya nchi 5 bora kwenye utalii ikiwa na vivutio bora kabisa duniani kama...
15 Reactions
34 Replies
2K Views
Shughuli hii Muhimu sana itafanyika Kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa , tarehe 4/1/2022 kuanzia saa 5 Asubuhi . Wote mnakaribishwa ...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Mimi kwa sehemu yangu kama mtanzania, nimemsamehe Spika Ndugai... Ni jukumu langu la kikristo kusamehe 7 ×70 =490 Hiyo ni misamaha mingi sana, hivyo awe ameomba kwa nia ya dhati au...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai amesifu ujenzi wa madarasa ya kisasa 112 yaliyojengwa kwenye Halmashauri ya Kongwa jijini Dodoma uliofadhiliwa na fedha za mkopo...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wanasheria na wadau mbalimbali naomba mnisaidie kufungua kesi dhidi ya hao wabunge 19. Kwa mujibu wa katiba iliyopo pamoja na ubovu wake lakini inasema mbunge lazima atokane na chama cha siasa...
9 Reactions
70 Replies
46K Views
Kauli ya kusema kuwa watu wa nje tunawahitaji kuliko wanavyotuhitaji imetamkwa kwa zaidi ya mara moja na Rais Samia Suluhu. Kauli hii inashida kidogo na tunahaja ya kuhakiki kama ni kweli kuwa...
0 Reactions
4 Replies
485 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…