Ni kifungu gani cha Sheria kinachosema kudai Katiba Mpya ni kosa?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau kumekuwa na nguvu kubwa inayotumiwa na watawala kupitia jeshi la polisi kuwakamata wananchi wanaodai katiba mpya.

Najiuliza kama wananchi walishirikishwa kutoa maoni na mapendekezo yao kwenye tume ya warioba juu ya katiba mpya leo kwanini wananchi wanapoidai katiba mpya wakamatwe?

Je ni kifungu kipi cha sheria kinachosema ni kosa kudai katiba mpya? Wananchi hao hao kodi zao ndio zilitumika kuwalipa posho wabunge wa bunge la katiba na katiba mpya
Haijapatikana mpaka leo. Je ni kosa kudai katiba mpya?

Busara zitumike wananchi waachwe wadai katiba mpya kuwakamata ni sawa na kuwadhurumu haki yao wakati kodi zao ambazo wabunge walilipwa posho kwenye bunge la katiba hazijazaa matunda kwa katiba kutopatikana
 
Wadau kumekuwa na NGUVU Kubwa inayotumiwa na WATAWALA kupitia JESHI la POLISI Kuwakamata WANANCHI Wanaodai KATIBA MPYA
Najiuliza kama WANANCHI Walishirikishwa Kutoa MAONI na MAPENDEKEZO yao kwenye TUME ya WARIOBA
juu Ya KATIBA MPYA leo Kwanini WANANCHI Wanapoidai KATIBA MPYA Wakamatwe? JE Ni KIFUNGU kipi cha SHERIA kinachosema Ni KOSA Kudai KATIBA MPYA? WANANCHI
hao hao KODI zao ndio zilitumika kuwalipa POSHO WABUNGE wa BUNGE la KATIBA
na KATIBA MPYA
HAIJAPATIKANA mpaka LEO. Je ni KOSA Kudai KATIBA MPYA?
BUSARA zitumike WANANCHI Waachwe Wadai KATIBA MPYA Kuwakamata ni Sawa na Kuwadhurumu Haki Yao Wakati KODI zao ambazo WABUNGE Walilipwa Posho Kwenye BUNGE la KATIBA Hazijazaa MATUNDA kwa KATIBA KUTOPATIKANA
Kifungu cha FC Lumumba Hamza Gaidi Cooperation
 
Fanya kazi wewe usipoteze muda..Katiba haiwezi kukuletea ugali mezani
Akili ndogo
JamiiForums-193688241.jpg
 
Back
Top Bottom