Mambo aliyoyalea akiwa ameshika hatamu ndio leo anaogopa kufanyiwa, lakini pamoja na yote bado hoja zake zinastahili kujibiwa, na sio kutishwa au vyovyote.
Amezungumzia uwepo wa vitu vinne ndani ya CCM, atakavyofanyiwa mwanachama wao atakae kuwa staright kwa kuhoji.
- Fitna: Kuzushiwa maneno ya uongo na wahuni.
- Zengwe: Kuletewa jambo ambalo atakuwa hajalifanya.
- Kulogwa: Ndio maana akasisitiza anamtumaini Mungu wa mbinguni
- Kuumizwa: Hili kila mmoja analijua.