Watanganyika mkitaka msitake MAMA MITANO TENA

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,171
Reaction score
3,087
Toka mama aingie Madarakani kumekuwa na ukosowaji mwingi na Zaid toka Kwa CCM BARA
Tunawaambia mkitaka msitake MITANO tena Kwa Mama sababu

# Mama kazuia TRA kufungia Maduka wanao wadai Kodi

# Mama kaondoa watekaji Kwa jina maarufu wasiojilikana

#Mama kafungua ajira

#Mama karejesha mzunguko WA FEDHA

#Mama kaondoa dhuluma waliokua wakifanyiwa Wanafunz waliokopa HESLEB

#Mama Kazuia wafanya Biashara kukwapuliwa fadha zao toka kwenye Akaaunt zao bila ridhaa

#Mama karejesha mahusiano mema na majirani

#Mama kaondoa ujinga WA kutibu COVID-19 Kwa mitishamba na waganga wajadi na badala yake karejesha science ya afya ichukue mkondo wake

#Mama kaondoa kauli za dharau zidi ya wananch mfn Ntaanza na mama zenu
Mimi cjaleta tetemeko
Msipo ichagua CCM sileti maendeleo

#TUNASIMAMANAMAMA
 
Cha mtema kuni atakiona , Sisi hapo wa kumpiga ni mmoja tuu..anayemshauri ndo WA kudeal nae the rest ni wepesi sana
 
Una ndoto 'nyevu'sana we kijana
 
Toka mama aingie Madarakani kumekuwa na ukosowaji mwingi na Zaid toka Kwa CCM BARA
Tunawaambia mkitaka msitake MITANO tena Kwa Mama sababu

# Mama kazuia TRA kufungia Maduka wanao wadai Kodi

# Mama kaondoa watekaji Kwa jina maarufu wasiojilikana

#Mama kafungua ajira

#Mama karejesha mzunguko WA FEDHA

#Mama kaondoa dhuluma waliokua wakifanyiwa Wanafunz waliokopa HESLEB

#Mama Kazuia wafanya Biashara kukwapuliwa fadha zao toka kwenye Akaaunt zao bila ridhaa

#Mama karejesha mahusiano mema na majirani

#Mama kaondoa ujinga WA kutibu COVID-19 Kwa mitishamba na waganga wajadi na badala yake karejesha science ya afya ichukue mkondo wake

#Mama kaondoa kauli za dharau zidi ya wananch mfn Ntaanza na mama zenu
Mimi cjaleta tetemeko
Msipo ichagua CCM sileti maendeleo

#TUNASIMAMANAMAMA
Kama wewe ndio Mungu haaya tutaona
 
Huo ndo ukwel wenyewe wataongea sana watahoji kila kitu ila mwisho wa sku mama ni ad 2030
 
Hizi kauli zenu zinasababisha Muumba aingilie kati, shauri yenu
 
#Mama kaondoa ujinga WA kutibu COVID-19 Kwa mitishamba na waganga wajadi na badala yake karejesha science ya afya ichukue mkondo wake.

#TUNASIMAMANAMAMA

Hapo umekosea Sana, wewe mtoto wa juzi hujui
 
Huo ndo ukwel wenyewe wataongea sana watahoji kila kitu ila mwisho wa sku mama ni ad 2030
Utaratibu wa CCM ni raisi anatokea Huku bara alafu Makamu Zanzibar
Huu utaratibu uheshimiwe
 
Aajiri police wa kutosha auziki watz wanakuambia anaenda kinyume na magufuli hizi ishu zishambomoa vibaya
Anayo Kazi kubwa Sana kuwashawishi watz.Upinzani njia nyeupe wakijipanga.
Ishu ya
1.Kumfunga Mbowe, watz wengi wanaamini anamuonea.
2.Ishu ya kuwaondoa machinga
3.Vitu bei juu mfano vifaa vya ujenzi
4.Bei ya kuunganisha umeme kuwa juu, ubunifu umekosekana si muunganishe bure gharama zitajilipa kwenye utumiaji umeme.
Kazi anayo kupenya Lisu atamsagasaga.
 
Wacheni makelele CCM haitoshinda uchaguzi ujao ,labda muendelee na Tume hiii hii,lakini kama mkilogwa mkakubali kuwa na Tume hulu ya uchagusi, mbona imelala kwenu sijui kama kuna mbunge au mgombea uraisi watatokea CCM ,kule Zanzibar ndio kabisa ukieka Liccm na mbata basi wanachagua mbata,CCM is no longer a political party.
 
Kwa alicho mfanyia mwanaume mwenzangu juzi ningebahatikaga kuwa kwenye nafasi za juu hapa nchini huyu mzee bibi ningemsaka mpaka nimkule.
 
Back
Top Bottom