Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,314
- 24,176
CAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5.
CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu.
Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic.
Kisirisiri wengi wanajua fedha zilivyoliwa, mitambo nyeti imenunuliwa at inflated prices, na hakuna aliyeuliza.
Miradi haikuhakikiwa na bunge, hilo linajulikana.
Nenda Tegeta A, Mbweni na kwingineko, majumba yalipaa kama uyoga, na ni watu fulani tu.
Nape umetonesha kidonda.