Uspika wa Job Ndugai umeshikiliwa na Mwenyekiti wa CCM; akimfuta uanachama kiti kinabaki wazi

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
800
1,921
Wakuu,

Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, speaker wa bunge la muungano anaweza kukoma kuwa speaker ikiwa kama alichaguliwa kuwa spika kutoka miongoni mwa wabunge wa kuchaguliwa na wananchi ambapo ubunge wake ukitenguliwa.

Ndugai anaweza kusitishiwa na kufurushwa uanachama wake wa CCM hivyo kupoteza ubunge wake na nafasi ya uspika moja kwa moja.

Hapa mwenyekiti wa CCM akiamua hii isue ya Ndugai ni ndogo sana, maana huwezi mpinga mwenyekiti hivihivi tena katika mambo ya msingi na maendeleo.

Katika hili, ubunge na uspika wa ndugai uko mikononi mwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi

Kipande cha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Screenshot_2022-01-04-19-48-42-61.jpg
 
Back
Top Bottom