muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,117
- 4,808
Ukifuatilia siasa za Tanzania ndivyo huwa zilivyo hivi hasahasa CCM ndio huwa wanaleta taharuki ukiwa mgeni kwenye haya mambo unaweza kudhani nchi itagawanyika lakini la hata haitakua hivyo hali itatulia na mtasahau,
rejea tu kipindi cha hayati JPM kulikua na mafukuto mpaka Nape akakoswa koswa kulamba chuma hadharani kweupe,
Kipindi icho nchi ilikua iko moto mpaka Makonda kuwataja akina Lizimoko kwenye magenge ya wauzaji wa madawa ya kulevya, rejea ally happi alivyowapopoa akina kinana kama wadogo zake vile,
katika kipindi hicho watu walijua CCM inagawanyika,
rejea kipindi membe na genge lake wanasuka mipango mshua akawashtukia akafukuza hadi akina sofia simba,
hayo ni matukio ya juzi tu mkianza kutejea mbali zaidi hadi Lowasa kwenda UKAWA na kambi yake yote ya akina Musukuma ikamsaliti, rudi nyuma hadi kipindi cha akina mwinyi na kipindi kile Mrema anabwaga manyanga, kipindi cha jakaya hadi Alisema kuwa CCM ina mafisi maana walifika hatua hawaachianai maji mezani,
najaribu kuwakumbusha tu CCM ni ile ile na haya mambo ya kufarakana wao kwa wao hayajaanza leo na huu ni upepo tu utapita na maisha yataendelea
nitoe wito kwa CHADEMA wajikite kujenga chama chao waache kudandia dandia mambo wasikae hata siku moja wakadhani CCMitagawanyika never,
nimemsikia Mbatia akisema anaenda mahakamani kuzuia mchakato wa spika
nimecheka sana hivi huyu mtu anapata wapi mda wa kupoteza hivyo badala huo mda angeutumia kwenda mashinani kujenga ilo chama lake lililooza hata halijukani kwa watu wa vijijini?