Huwa najiuliza kama watu ambao ni wazima kabisa wa afya tena vijana; kuna muda maisha yanawapiga hadi wanashinda na njaa, hivi tunawafikiriaje ndugu zetu walemavu ambao hawana mikono, miguu...
Kutengeneza team mpya ni haki kabisa ya kiongozi anaepewa dhamana ya kuongoza serikali ili kuhakikisha kuwa ana watu sahihi wa kumuwezeaha kutimiza malengo kwa muda muafaka.
Hata hivyo , bado...
Ni ukweli mchungu, ukitema ukimeza ni shauri yako!
Umewahi kujiuliza ni kwanini tuna viongozi 'wale wale' tangu nchi ipate Uhuru?
Hadi leo ni miaka 60 ya Uhuru, lakini kuna viongozi wamekuwa...
Mh. Mama yetu Samia Rais Wa Jamuhiri ya muungano wa Tanzania
Salaam;
Kama wengi wanavyoeleza urais taasisi kubwa na nyeti sana yapo mambo ambayo yanafanyika kutokana na maendeleo ya kitecnologia...
Wanaukumbi.
Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo anamuogopa Lema kuhofia kufukuzwa Chadema naye akafute post yake Lema, kila siku unapiga kelele kwenye kijiwe chenu cha Space unataka...
Katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa...
Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.
Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke?
Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na...
Awali nilipokuwa naangalia ujio wa SPACE kama njia ya kufanya bunge la wananchi sikuona Kwa upana ukubwa wa forum Hii. Nikiri Kwamba Maria Sarungi ni Moja ya mtu aliyenufaika kiubunifu na utawala...
Kwa idadi hii tu ya Watu 66 ( hasa wana CCM ) waliojitokeza mpaka sasa kutaka Kugombea Uspika ni Zuzu ( Hambe ) pekee ndiyo hatoweza Kugundua kuwa ndani ya CCM ya sasa ( ya Rais Samia ) kuna...
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kuungana na RC Mwanza, Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili...
Kutokana na kinachoendelea katika nchi yetu tuipendayo, ninajaribu kuwaza historia itamkumbukaje Mheshimiwa Rais Magufuli, je, itamkumbuka kama;
• Mwoga aliyetumia ipasavyo madaraka ya kikatiba...
Ni wazi kuwa Spika Ndugai imejiuzuru uspika wa bunge la Tanzania kwa shinikizo la chama chake cha CCM baada ya kutofautiana kimtazamo na Rais Samia Suluhu ambaye ndio mwenyekiti wa CCM taifa...
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.
Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni...
Baada ya shughuli nyingi za kukimbiza shilingi nipo ndani ya Dada Dala habari kubwa ni hotuba ya Mh Rais Samia.
Ghafla anasimama Mzee wa Makamu kavalia Barakashia kama ile ya Kassim Majaliwa...
Ofisi nyingi mikoani zimefungwa huku mali nyingi za chama zikiwa hazijulikani zilipo. Tuunde tume ili kujua mali za chama zilipo. Nyingi ya mali za chama zilipotea kuanzia mwaka 2015 baada ya...
Nimesikia kauli za Rais na Makamu wa Rais na zote zinaashiria kuna tatizo kubwa sana kwa mawaziri. Ila bado nashangaa imekuwaje mnawateua inakuwaje mnaendelea nao? Ni kweli huko CCM hakuna watu...
Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Naomba umteue mtangazaji wa Clouds FM katika cheo cha ukuu wa wilaya kwani kijana huyu ni mzalendo wa hali ya juu.
Kuchukua fomu ya kugombea cheo cha...
Kamanda Jonathan Kabuyuyu wa Chadema mkoa wa Geita ametia nia ya kugombea uspika wa bunge la JMT.
Kabuyuyu amesema nia hiyo ni provisionally akitegemea zaidi baraka za chama chake endapo...
Nimesikia Watu Zaidi ya Kumi Sasa wakilaumu Kwa Nini Magereza siku hizi wanamwacha Mbowe free bila pingu na kuruhusu asalimiane na Watu? Hii imetokea siku chache baada ya wanachadema kuimba...
Hii ni baada ya Viongozi wa BAVICHA kutinga Uwanjani humo kushuhudia fainali ya Mapinduzi Cup kati ya Simba na Azam FC na kuamsha Shangwe Uwanja mzima.