Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

Katiba bora ndiyo Salama yetu. Kila mmoja ana maruhani wake.
Mda ukifika binadamu akaamua hata bila katiba changes huwa zinakuja, usimchezee mtu anaitwa "binadamu" Huwa ni viongozi wenye vision kubwa sana huiona hatari ya kuchezea haki za wananchi, sana sana unaiweka nchi rehani kuingia kwenye machafuko.

Hata Tanzania haina political immunity, bila busara ya katiba nzuri, ni suala la muda tu tutaingia kwenye machafuko ndio nature ya binadamu na political literature ndio zinasema hivyo, soma utaelewa.
 
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.

Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Wapinzani wamepoteza mwelekeo. Katika statement zao wameshindwa kujua nini cha kuongea wao mpaka Leo ni magufuli magufuli . Magufuli hayupo tena duniani amefariki na aliyepo na Samia . Katika mazungumxo yao wanamzungumzia rais magufuli badala ya Rais Samia . Hivi utamwambia Msukuma wa kule Shinyanga au kwokwote magufuli alikuepo mbaya upate kura yake. Kwa hii trend inawezekana upinzani ukapata kura chache 2025 tokea uchaguzi wa 1995
 
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Mwelekeo umepoteza wewe unayeshindwa kufanya kazi za kujitafutia ridhiki
 
Hayupo mtu wa Kanda ya ziwa wakuwapigia kura chagga Gang,hata Kama CCM itaweka jiwe basi watu wa huku watalipa kura hilo jiwe.

Hiki chama kina udini,ukabila na ukanda,hakifai kupewa mamlaka ya juu.chenyewe kiendelee tu kujiendesha ki-saccos
Kwa huu ufisadi wa kila mbuzi kula kwa kamba yake?
 
Ndg yangu Mimi ni mtumishi wa umma .Elimu niliyonayo ni kubwa Kwa kiwango cha M.Sc Ridhiki ninapata maisha yanasonga. Mimi 2010 na 2015 kura zangu nilipigia upinzani ila sasa sioni kama wananipa ushawishi.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Elimu yako ingekusaidia kama ungejua nimeandika nini.

Lkn umeingia mazima na kudaka mdudu unaye muona machoni mwako hii inaonyesha hiyo elimu ina mushkeri
 
Elimu yako ingekusaidia kama ungejua nimeandika nini.

Lkn umeingia mazima na kudaka mdudu unaye muona machoni mwako hii inaonyesha hiyo elimu ina mushker
Hayupo mtu wa Kanda ya ziwa wakuwapigia kura chagga Gang,hata Kama CCM itaweka jiwe basi watu wa huku watalipa kura hilo jiwe.

Hiki chama kina udini,ukabila na ukanda,hakifai kupewa mamlaka ya juu.chenyewe kiendelee tu kujiendesha ki-saccos

Hayupo mtu wa Kanda ya ziwa wakuwapigia kura chagga Gang,hata Kama CCM itaweka jiwe basi watu wa huku watalipa kura hilo jiwe.

Hiki chama kina udini,ukabila na ukanda,hakifai kupewa mamlaka ya juu.chenyewe kiendelee tu kujiendesha ki-saccos
CHADEMA kila leo wanamuongelea Magufuli na kutukana Wasukuma ndo unategemea kanda ya ziwa wanapata kura! Hawa vijana ni mataahira wasiojitambua! Kila leo matusi ukifika uchaguzi mnataka wanakanda ya ziwa wawapigie kura! Viongozi wao hawawaelezi ukweli!
 
Wewe ni mnyarwanda inakuwaje unawazungumzia watanzania ?
 
Nyie ndo CHADEMA jeuri mkikutana huko uchochoroni unaongea ujinga ujinga! Jigunzeni kuwa na break mdomoni! Endelea kuniita Mnyarwanda!
Wewe ni Mnyarwanda tu wachana na mambo yanayo wahusu watanzania .
 
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.

Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Akili ndogo sana hii.
Ukabila 2025?
Shame on you!
Hilo la kwanza.
La pili, nani kakuambia 2025 kutakuwa na Uchaguzi?
2020 ulikuwa Uchafuzi kwa sababu zilizo wazi. Ukifanyika Uchaguzi, CCM inaenda kuwa Chama cha Upinzani, Bara na Zanzibar.
Kuna Mtanzania ambaye hajui kuwa Maalim Seif alikuwa anamshinda Mgombea wa CCM kwa wingi wa kura lakini anaapishwa aliyeshindwa?
Chadema inaelekea kuzinduka, na ACT Wazalendo inatakiwa isimamie haki yao ya ushindi Zanzibar, badala ya kuridhika na usindikizaji unaofanyika wa Umakamu wa kwanza wa Rais wakati wameshinda.
 
CHADEMA kila leo wanamuongelea Magufuli na kutukana Wasukuma ndo unategemea kanda ya ziwa wanapata kura! Hawa vijana ni mataahira wasiojitambua! Kila leo matusi ukifika uchaguzi mnataka wanakanda ya ziwa wawapigie kura! Viongozi wao hawawaelezi ukweli!
Katika kanda ambayo Raisi Magufuli kwa mara ya kwanza alizomewa hadharani ni kanda ya ziwa,tena zaidi ya mkoa mmoja, Acheni kujificha kwenye ujinga wa ukabila-Ulishapitwa na wakati
 
Akili ndogo sana hii.
Ukabila 2025?
Shame on you!
Hilo la kwanza.
La pili, nani kakuambia 2025 kutakuwa na Uchaguzi?
2020 ulikuwa Uchafuzi kwa sababu zilizo wazi. Ukifanyika Uchaguzi, CCM inaenda kuwa Chama cha Upinzani, Bara na Zanzibar.
Kuna Mtanzania ambaye hajui kuwa Maalim Seif alikuwa anamshinda Mgombea wa CCM kwa wingi wa kura lakini anaapishwa aliyeshindwa?
Chadema inaelekea kuzinduka, na ACT Wazalendo inatakiwa isimamie haki yao ya ushindi Zanzibar, badala ya kuridhika na usindikizaji unaofanyika wa Umakamu wa kwanza wa Rais wakati wameshinda.
Hauko serious, CHADEMA hii ishinde uchaguzi ? Hii yenye ukaskazini na matusi kwa wanakanda ya Ziwa ? Haitatokea kamwe. Tuko tayari CCM itawale milele lakini siyo CHADEMA.
 
Back
Top Bottom