Johathan Kabuyuyu wa Chadema Geita atangaza kugombea nafasi ya Spika wa bunge la JMT.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,069
Kamanda Jonathan Kabuyuyu wa Chadema mkoa wa Geita ametia nia ya kugombea uspika wa bunge la JMT.

Kabuyuyu amesema nia hiyo ni provisionally akitegemea zaidi baraka za chama chake endapo kitampitisha.
Kabuyuyu ni mwanaikolojia kitaaluma.

Maendeleo hayana vyama!
 
Chadema haikutambua uchaguzi, kwa hiyo hailitambui Bunge; sasa yeye anatangaza nia ya kugombea uspika wa bunge gani? La Daruso?
 
Kamanda Jonathan Kabuyuyu wa Chadema mkoa wa Geita ametia nia ya kugombea uspika wa bunge la JMT.

Kabuyuyu amesema nia hiyo ni provisionally akitegemea zaidi baraka za chama chake endapo kitampitisha.
Kabuyuyu ni mwanaikolojia kitaaluma.

Maendeleo hayana vyama!
Tumesema hakuna kuinhia uchaguzi wowote. Huyu vipi?
 
Back
Top Bottom