Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,476
2,105

TZS Bilioni 11 za Rais Samia Suluhu zamtetemesha RC Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema, afanya maamuzi magumu Kishapu,​

" Hakuna kama Samia "​

Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha Ujenzi wa madarasa kwa dharula kama ilivyoelekezwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
====
Mkuu huyo wa Mkoa amemshangaa afisa huyo mzembe kwa kuendeleza urasimu kwenye fedha za Rais Samia zinazotaka madarasa yajengwe kila sehemu yanapohitajika kwa dharula ili ifikapo trh 06|01|2022 wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza waanze mwaka wa masomo maramoja kwa pamoja.
===
Mtakumbuka Rais Samia alitoa Jumla ya madarasa elfu 15 kwa shule za Sekondari na madarasa elfu 3 kwa Shule shikizi za msingi huku akitoa Jumla ya madawati 462,795 sawa na Wastani wa madawati 120 na madarasa 4 katika Kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima yaani mjini na vijijini.
===
Mkoa wa Shinyanga ulitengewa na kupatiwa Jumla ya TZS 11BL ambazo leo kwa mujibu wa RC watu wazembe wanaziangalia tu kwenye akaunti kama mapambo badala ya kuchangamkia Ujenzi ili ifikapo trh 06|01|2022 ahadi ya Rais Samia kwamba kwenye mwaka wake watoto wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza wataanza shule tarehe moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022 saa moja kamili asubuhi.
===
Wakati huohuo Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameshapeleka kwenye halmashauri zote 184 nchini Jumla ya TZS 62.4BL kwaajili ya elimu bure, Hivyo watoto hawa anaowapambania leo Bi Sophia Mjema tayari ada yao ilishalipwa,Wazazi|walezi wao watanunua uniform pamoja na madaftari tu,Huyu ndio Samia Suluhu Hassan Rais wa awamu ya Sita na hizi ndio kazi zake.

Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha Ujenzi wa madarasa kwa dharula kama ilivyoelekezwa na Rais Samia Suluhu Hassan,

Mkuu huyo wa Mkoa amemshangaa afisa huyo mzembe kwa kuendeleza urasimu kwenye fedha za Rais Samia zinazotaka madarasa yajengwe kila sehemu yanapohitajika kwa dharula ili ifikapo trh 06|01|2022 wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza waanze mwaka wa masomo maramoja kwa pamoja,

Mtakumbuka Rais Samia alitoa Jumla ya madarasa elfu 15 kwa shule za Sekondari na madarasa elfu 3 kwa Shule shikizi za msingi huku akitoa Jumla ya madawati 462,795 sawa na Wastani wa madawati 120 na madarasa 4 katika Kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima yaani mjini na vijijini,

Mkoa wa Shinyanga ulitengewa na kupatiwa Jumla ya TZS 11BL ambazo leo kwa mujibu wa RC watu wazembe wanaziangalia tu kwenye akaunti kama mapambo badala ya kuchangamkia Ujenzi ili ifikapo trh 06|01|2022 ahadi ya Rais Samia kwamba kwenye mwaka wake watoto wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza wataanza shule tarehe moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022 saa moja kamili asubuhi,

Wakati huohuo Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameshapeleke kwenye halmashauri zote 185 nchini Jumla ya TZS 62BL kwaajili ya elimu bure, Hivyo watoto hawa anaowapambania leo Bi Sophia Mjema tayari ada yao ilishalipwa wao watanunua uniform pamoja na madaftari tu,Huyu ndio Samia Suluhu Hassan Rais wa awamu ya Sita na hizi ndio kazi zake,

View attachment 2004485
Huyo mama si tu hana busara lakini atashindwa kazi sababu za Utawala Bora.
Uendeshaji wa serikali si kwa matamshi ya wanasiasa bali Govt standing orders ambazo haziwezi kukiukwa.
Ngoja CAG aje na aone uozo wa kutoa kazi na ndio tutajua mbivu na mbichi.
 
Huyu mama Sophia Mjema ni kiongozi nzuri sana, na anajielewa, nina uhakika atasimamia hilo zoezi kwa weledi mkubwa
 
Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha Ujenzi wa madarasa kwa dharula kama ilivyoelekezwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Mkuu huyo wa Mkoa amemshangaa afisa huyo mzembe kwa kuendeleza urasimu kwenye fedha za Rais Samia zinazotaka madarasa yajengwe kila sehemu yanapohitajika kwa dharula ili ifikapo trh 06|01|2022 wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza waanze mwaka wa masomo maramoja kwa pamoja.

Mtakumbuka Rais Samia alitoa Jumla ya madarasa elfu 15 kwa shule za Sekondari na madarasa elfu 3 kwa Shule shikizi za msingi huku akitoa Jumla ya madawati 462,795 sawa na Wastani wa madawati 120 na madarasa 4 katika Kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima yaani mjini na vijijini.

Mkoa wa Shinyanga ulitengewa na kupatiwa Jumla ya TZS 11BL ambazo leo kwa mujibu wa RC watu wazembe wanaziangalia tu kwenye akaunti kama mapambo badala ya kuchangamkia Ujenzi ili ifikapo trh 06|01|2022 ahadi ya Rais Samia kwamba kwenye mwaka wake watoto wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza wataanza shule tarehe moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022 saa moja kamili asubuhi.

Wakati huohuo Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameshapeleke kwenye halmashauri zote 185 nchini Jumla ya TZS 62BL kwaajili ya elimu bure, Hivyo watoto hawa anaowapambania leo Bi Sophia Mjema tayari ada yao ilishalipwa wao watanunua uniform pamoja na madaftari tu,Huyu ndio Samia Suluhu Hassan Rais wa awamu ya Sita na hizi ndio kazi zake.

Hizo fedha siyo za rais Samia !

Hizo fedha ni za watanzania rais hana fedha hapa nchini.

Fedha zake ni zile za mshahara wake muache kupotosha watu kwa makusudi.

Kama zimekopwa basi zitalipwa kwa kodi za watanzania na kama zimetolewa kama zawadi basi zimetolewa kwa jina la JMT.
 
IMG-20211109-WA0056.jpg
 
Utawala bora ni Upi?

Watoto wasiende shule kwa wakati?
Mkuu laid down procedures za uendeshaji nchi ni pamoja na kugawa kazi kwa haki, na kulipa kwa haki, n bado kusudi lililo tazamiwa litekelezwe.
Hapo ni project planning na execution.
Soyo kwenda tu kununua sementi kwa Mangi.
 
Angalizo hiyo dharura isije ikaleta maafa!
Hata kama ni dharura ni lazima watu wa procurements wafuate procurement procedures, hivi muende tuu kununua simenti, mabati, nondo etc kama unajenga nyumba yako si mtapigwa au hamuwajui vizuri maafisa manunuzi? Mfano kama hamjakubaliana kupata quotations ili muamue mtanunua kwa bei ipi si mtu ataenda kununua kwenye bei nafuu halafu makaratasi akaongeza cha juu?
 
Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha Ujenzi wa madarasa kwa dharula kama ilivyoelekezwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Mkuu huyo wa Mkoa amemshangaa afisa huyo mzembe kwa kuendeleza urasimu kwenye fedha za Rais Samia zinazotaka madarasa yajengwe kila sehemu yanapohitajika kwa dharula ili ifikapo trh 06|01|2022 wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza waanze mwaka wa masomo maramoja kwa pamoja.

Mtakumbuka Rais Samia alitoa Jumla ya madarasa elfu 15 kwa shule za Sekondari na madarasa elfu 3 kwa Shule shikizi za msingi huku akitoa Jumla ya madawati 462,795 sawa na Wastani wa madawati 120 na madarasa 4 katika Kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima yaani mjini na vijijini.

Mkoa wa Shinyanga ulitengewa na kupatiwa Jumla ya TZS 11BL ambazo leo kwa mujibu wa RC watu wazembe wanaziangalia tu kwenye akaunti kama mapambo badala ya kuchangamkia Ujenzi ili ifikapo trh 06|01|2022 ahadi ya Rais Samia kwamba kwenye mwaka wake watoto wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza wataanza shule tarehe moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022 saa moja kamili asubuhi.

Wakati huohuo Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameshapeleke kwenye halmashauri zote 185 nchini Jumla ya TZS 62BL kwaajili ya elimu bure, Hivyo watoto hawa anaowapambania leo Bi Sophia Mjema tayari ada yao ilishalipwa wao watanunua uniform pamoja na madaftari tu,Huyu ndio Samia Suluhu Hassan Rais wa awamu ya Sita na hizi ndio kazi zake.

Aseme ss walipakodi tumetoa pesa sio mtu mwingine na hakikishe taratibu zinafuaatwa ktk matumizi ya hz kodi zetu cku CAG akikagua na akabaini upotevu wa kodi zetu tutazidai sana kama tunavyodai katiba mpya na tume huru ya uchaguz
 
Hizo fedha siyo za rais Samia !

Hizo fedha ni za watanzania rais hana fedha hapa nchini.

Fedha zake ni zile za mshahara wake muache kupotosha watu kwa makusudi.

Kama zimekopwa basi zitalipwa kwa kodi za watanzania na kama zimetolewa kama zawadi basi zimetolewa kwa jina la JMT.
Ndugu yangu vita hiyo huiwezi kwani ni ya kiakili na sio mabavu.....hiyo kauli ndg ni 'figurative' tu hivyo ina maana tofauti na maana yako ya kimabavu. Relax tu ndg kwani haifutiki leo wakati wa samia (anayekufanya uichukie hiyo kauli) wala kesho wakati wa raisi mwingine..... utajiumiza bure na mwishowe kuambulia magonjwa tu kwani miaka minne au tisa ya samia ni mingi mno kwa mtu kuishi akiwa amefura (amekasirika).
 
Wewe akili zako ni za kubumba mno.

Hapo nimeongelea taasisi na siyo mtu personal uwe unatumia angalau robo ya akili zako badala ya kurohoja tu kama mpiga zumari.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom