Shaka Hamdu Shaka ataka walioisababishia Serikali hasara ya TZS 0.59BL watafutwe

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
1,670
2,000
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara Serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo.

Akiwa katika Ziara ya Sekretarieti ya CCM-Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg Daniel Chongolo amesema mradi huo wa Katale uliopo halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ulitekelezwa chini ya kampuni ya ujenzi ya STC ambao hata hivyo hautoi maji miaka miwili tangu kukamilika kwake na kukabidhiwa.

photo_2021-10-26_01-30-53.jpg
 
VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
723
1,000
Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
 
VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
723
1,000
we ndio hujui sasa , na wala hujataka kufuatilia ujue kwanini Jiwe alimfukuza na alikua amfute uanachama kabisa , shangazi yake samia kamuokota huko alikokua ametupwa
Daaah kumbe ni fitana za jiwe?

Ndio maana laana zilimfika akafa.

Mambo ya jiwe yanamashaka sana ndio maana watu wanataka hata Deni la Taifa lichunguzwe

Shaka ni jembe fuatilia mambo yake
 
VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
723
1,000
Chama ni baba wa Serikali

Mengine kajisomee

Ana kitu ndani yake cha kuvuka mipaka ya kazi yake, hayo mambo ya serikali yeye yanamuhusu nini? kwani serikali haina watu wake wakufanya hiyo kazi ya ufuatiliaji wa miradi yake?
 
VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
723
1,000
Chama na serikali sio kitu kimoja. Huyo Shaka anatakiwa afuatilie mali za CCM walizopora kwa wananchi enzi za chama kimoja.
Mkuu wewe unatatizo la uelewa tu

Shaka ni zaidi ya mkuu wa mkoa au Waziri
 
Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
730
500
We ndio hujui sasa, na wala hujataka kufuatilia ujue kwanini Jiwe alimfukuza na alikua amfute uanachama kabisa, shangazi yake samia kamuokota huko alikokua ametupwa
Wewe ni muongo, Shaka nimchamungu sana, acha kutafuta laana ndg
 
Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
730
500
Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Umeongea kweli
 
Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
730
500
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara Serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo.

Akiwa katika Ziara ya Sekretarieti ya CCM-Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg Daniel Chongolo amesema mradi huo wa Katale uliopo halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ulitekelezwa chini ya kampuni ya ujenzi ya STC ambao hata hivyo hautoi maji miaka miwili tangu kukamilika kwake na kukabidhiwa.

View attachment 2010994
Uzalendo kama Uzalendo unahitajika kwenye miradi ya Serikali
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
45,517
2,000
Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Ukisikia tu MTU anaanza kwa kusema Mimi ni CHADEMA ujue hamna kitu humor, ni sawa na kusema Mimi ni Mwanaume, kama ni Mwanaume kweli sisi tutakujua tu? Why ujitangaze??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom