Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
184
987
Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.

Huwezi kuwa mstaarabu kwa mtu ambaye si mstaarabu. CCM hawataki ustaarabu wa kuendesha nchi hii, hawapo tayari kabisa kuona mabadiliko ya kimfumo yafanyike. Sasa ACT-Wazalendo kwa Hadaa za Zitto Kabwe wameingia kwenye mtego wa CCM kufanyia marekebisho NEC ambayo kimsingi hata viongozi wa kamati hiyo ni wanaccm. Hivi kuna asiyemjua Prof Mkandara Itikadi yake? Kuna asiyemjua Halafu Rashidi wa ADC ambaye Chama chake ni sawa na UDP ya Cheyo?

Sababu kuu ya ACT-Wazalendo ya kudai marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na siyo Katiba mpya eti wanataka tume huru ili wachaguliwe waende bungeni wakiwa wengi wakadai katiba, huu ni unafki wa hali ya juu sana. Yaani ACT hawaoni umuhimu wa kuandika katiba wao wanahangaika maslahi ya kisiasa badala ya mfumo? Hawaoni Shida wanazopata wananchi kupitia mifumo iliyopo ya kiutawala ila wao ni uchaguzi tu?

Kwa sasa watu wanalia majeshi la Polisi kwa sababu ya mfumo, watu wanalia na mahakama zetu kwa sababu ya mfumo, tunalia na Ufisadi kwa sababu ya mfumo, leo hii wenzetu wanaona mfumo unaweza kubadilishwa na NEC?

CCM hawataki ustaarabu lakini wanataka wenzao wawe wastaarabu, demokrasia ina gharama zake. Kama watu waliwahi kupoteza maisha, kama kuna watu waliwahi kupigwa risasi, kama kuna watu waliwahi kutekwa na kupotezwa , yote haya ni kwa sababu ya CCM kungan'ang'ania madaraka. Kwahiyo ni lazima kuwe na msimamo wa CCM kuondoka madarakani kwa nguvu ya umma wapende wasipende. Mtu anapokataa ustaarabu basi lazima nawe usiwe mstaarabu. Hii ni nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki nayo.

Zitto Kabwe hajawahi kushika madaraka makubwa kama aliyonayo ya sasa kama kiongozi mkuu wa chama chake, nafasi yake kwenye kutafuta suluhu serikali ya Mapinduzi Zanzibar anajiona ni nafasi kubwa na ananyenyekewa sana, kumbe hajui kuwa wenzake wanatazama mbali zaidi. Hicho chama kingefika mbali angekuwepo Maalim Seif, Zitto Kabwe si mwanasiasa wa kuaminika ,siyo wa kuachiwa taasisi pekee yake aendeshe. Sina imani kama Maalim Seif angekuwepo angekubali kudai marekebisho ya uchaguzi badala ya katiba mpya, au labda kwakuwa Katiba ya Zanzibar ina ahueni kidogo. Maskini Zitto amesahau kuwa Katiba ni muhimu zaidi kuliko tume.

Tunazungumza humu lakini ni suala la muda tuu. Tunajua suala liingine la ACT-WAZALENDO ni njaa wanataka wapate wabunge waende wakaongeze ruzuku ili waendeshe chama chao, ACT-WAZALENDO hawana shida kabisa na kushika dola.
 
Kwa nguvu waliyonayo Zanzibar, ni ngumu sana hiki chama kufa. Ila ZItto akijikanyaga na kugomabana na viongozi wa Zanzibar kama akina Ismail Jussa na Nassor Mazurui atajikanyaga na kukiua chama.
 
We Tanzania hatuna Shida. Hatutaki kujaribu Vita. Elimu iboreshwe. Miundo mbinu. Huduma Zingine za jamii. Watu wafanye kazi. Watoto wafundishwe nidhamu ya maisha na kupenda vya kwao. Hapo sio Siasa wala ujinga.
 
Kwa nguvu waliyonayo Zanzibar, ni ngumu sana hiki chama kufa. Ila ZItto akijikanyaga na kugomabana na viongozi wa Zanzibar kama akina Ismail Jussa na Nassor Mazurui atajikanyaga na kukiua chama.
Na hao ndiyo wanaokibeba chama si wengine so zitto anawasikiliza na hawezi kuwatenga hata robo, laiti akiwatenga na kujifanya ndiye mzee wachama hawa jamaa wa Unguja wanasepa mapema sana na kwenye maskani zote wanafuta kila takataka ya zitto.
 
Kwa nguvu waliyonayo Zanzibar, ni ngumu sana hiki chama kufa. Ila ZItto akijikanyaga na kugomabana na viongozi wa Zanzibar kama akina Ismail Jussa na Nassor Mazurui atajikanyaga na kukiua chama.
CUF ilikufa vipi kwani tuanzie hapa
Anything and everything is possible
 
Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.

Huwezi kuwa mstaarabu kwa mtu ambaye si mstaarabu. CCM hawataki ustaarabu wa kuendesha nchi hii, hawapo tayari kabisa kuona mabadiliko ya kimfumo yafanyike. Sasa ACT-Wazalendo kwa Hadaa za Zitto Kabwe wameingia kwenye mtego wa CCM kufanyia marekebisho NEC ambayo kimsingi hata viongozi wa kamati hiyo ni wanaccm. Hivi kuna asiyemjua Prof Mkandara Itikadi yake? Kuna asiyemjua Halafu Rashidi wa ADC ambaye Chama chake ni sawa na UDP ya Cheyo?

Sababu kuu ya ACT-Wazalendo ya kudai marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na siyo Katiba mpya eti wanataka tume huru ili wachaguliwe waende bungeni wakiwa wengi wakadai katiba, huu ni unafki wa hali ya juu sana. Yaani ACT hawaoni umuhimu wa kuandika katiba wao wanahangaika maslahi ya kisiasa badala ya mfumo? Hawaoni Shida wanazopata wananchi kupitia mifumo iliyopo ya kiutawala ila wao ni uchaguzi tu?
Kwa sasa watu wanalia majeshi la Polisi kwa sababu ya mfumo, watu wanalia na mahakama zetu kwa sababu ya mfumo, tunalia na Ufisadi kwa sababu ya mfumo, leo hii wenzetu wanaona mfumo unaweza kubadilishwa na NEC?

CCM hawataki ustaarabu lakini wanataka wenzao wawe wastaarabu, demokrasia ina gharama zake. Kama watu waliwahi kupoteza maisha, kama kuna watu waliwahi kupigwa risasi, kama kuna watu waliwahi kutekwa na kupotezwa , yote haya ni kwa sababu ya CCM kungan'ang'ania madaraka. Kwahiyo ni lazima kuwe na msimamo wa CCM kuondoka madarakani kwa nguvu ya umma wapende wasipende. Mtu anapokataa ustaarabu basi lazima nawe usiwe mstaarabu. Hii ni nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki nayo.

Zitto Kabwe hajawahi kushika madaraka makubwa kama aliyonayo ya sasa kama kiongozi mkuu wa chama chake, nafasi yake kwenye kutafuta suluhu serikali ya Mapinduzi Zanzibar anajiona ni nafasi kubwa na ananyenyekewa sana, kumbe hajui kuwa wenzake wanatazama mbali zaidi. Hicho chama kingefika mbali angekuwepo Maalim Seif, Zitto Kabwe si mwanasiasa wa kuaminika ,siyo wa kuachiwa taasisi pekee yake aendeshe. Sina imani kama Maalim Seif angekuwepo angekubali kudai marekebisho ya uchaguzi badala ya katiba mpya, au labda kwakuwa Katiba ya Zanzibar ina ahueni kidogo. Maskini Zitto amesahau kuwa Katiba ni muhimu zaidi kuliko tume.

Tunazungumza humu lakini ni suala la muda tuu. Tunajua suala liingine la ACT-WAZALENDO ni njaa wanataka wapate wabunge waende wakaongeze ruzuku ili waendeshe chama chao, ACT-WAZALENDO hawana shida kabisa na kushika dola.
Kwani Bawacha wao wanasemaje? Mbona wamebadili bango sasa ni "Tume Huru" sio "KATIBA MPYA"
Screenshot_20220125-143318_Chrome.jpg
 
Zitto alimuingiza Maalim kingi kirahisi sana, ACT sijui watawaeleza nini Wazanzibar ifikapo 2025. Nini matokeo chanya ya SUK? Ipi hatma ya waliopoteza maisha kwenye uchaguzi mkuu 2020?
(ACT baada ya 2025 itakuwa sawa na TLP et al).
 
Zitto lengo lake NECCCM impe viti vichache vya ubunge aongoze kamati. ACT haina tofauti na TLP kwa sasa
 
Unamwonea gere tu baada ya kuona anatumia busara na hekima zaidi kuliko mabavu unayoyataka wewe. Wewe na chama chako mnaokata kutumia vurugu, endeleeni na vurugu zenu tuone mtatakoishia.
 
Kwa nguvu waliyonayo Zanzibar, ni ngumu sana hiki chama kufa. Ila ZItto akijikanyaga na kugomabana na viongozi wa Zanzibar kama akina Ismail Jussa na Nassor Mazurui atajikanyaga na kukiua chama.
Uko sahihi...! Nilikua Zenji nafanya tafiti..hizi kelele za mtandaoni na vitu kwa ground ni tofauti!
 
Hujui chochote kaa kula ugali wako na dagaa ulale! Zitto anawazidi CHADEMA yote akili , mnashabikiwa na wapumbavu wasiojitbua tu! Mna Mbunge 1 na COVID 19 mnataka Katiba Mpya! Pateni Tume Huru mpate Wabunge wa maana wa kusukuma ajenda za Katiba kwenye legal Platforms! Zitto ni AKILI KUBWA!
 
Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.

Huwezi kuwa mstaarabu kwa mtu ambaye si mstaarabu. CCM hawataki ustaarabu wa kuendesha nchi hii, hawapo tayari kabisa kuona mabadiliko ya kimfumo yafanyike. Sasa ACT-Wazalendo kwa Hadaa za Zitto Kabwe wameingia kwenye mtego wa CCM kufanyia marekebisho NEC ambayo kimsingi hata viongozi wa kamati hiyo ni wanaccm. Hivi kuna asiyemjua Prof Mkandara Itikadi yake? Kuna asiyemjua Halafu Rashidi wa ADC ambaye Chama chake ni sawa na UDP ya Cheyo?

Sababu kuu ya ACT-Wazalendo ya kudai marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na siyo Katiba mpya eti wanataka tume huru ili wachaguliwe waende bungeni wakiwa wengi wakadai katiba, huu ni unafki wa hali ya juu sana. Yaani ACT hawaoni umuhimu wa kuandika katiba wao wanahangaika maslahi ya kisiasa badala ya mfumo? Hawaoni Shida wanazopata wananchi kupitia mifumo iliyopo ya kiutawala ila wao ni uchaguzi tu?
Kwa sasa watu wanalia majeshi la Polisi kwa sababu ya mfumo, watu wanalia na mahakama zetu kwa sababu ya mfumo, tunalia na Ufisadi kwa sababu ya mfumo, leo hii wenzetu wanaona mfumo unaweza kubadilishwa na NEC?

CCM hawataki ustaarabu lakini wanataka wenzao wawe wastaarabu, demokrasia ina gharama zake. Kama watu waliwahi kupoteza maisha, kama kuna watu waliwahi kupigwa risasi, kama kuna watu waliwahi kutekwa na kupotezwa , yote haya ni kwa sababu ya CCM kungan'ang'ania madaraka. Kwahiyo ni lazima kuwe na msimamo wa CCM kuondoka madarakani kwa nguvu ya umma wapende wasipende. Mtu anapokataa ustaarabu basi lazima nawe usiwe mstaarabu. Hii ni nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki nayo.

Zitto Kabwe hajawahi kushika madaraka makubwa kama aliyonayo ya sasa kama kiongozi mkuu wa chama chake, nafasi yake kwenye kutafuta suluhu serikali ya Mapinduzi Zanzibar anajiona ni nafasi kubwa na ananyenyekewa sana, kumbe hajui kuwa wenzake wanatazama mbali zaidi. Hicho chama kingefika mbali angekuwepo Maalim Seif, Zitto Kabwe si mwanasiasa wa kuaminika ,siyo wa kuachiwa taasisi pekee yake aendeshe. Sina imani kama Maalim Seif angekuwepo angekubali kudai marekebisho ya uchaguzi badala ya katiba mpya, au labda kwakuwa Katiba ya Zanzibar ina ahueni kidogo. Maskini Zitto amesahau kuwa Katiba ni muhimu zaidi kuliko tume.

Tunazungumza humu lakini ni suala la muda tuu. Tunajua suala liingine la ACT-WAZALENDO ni njaa wanataka wapate wabunge waende wakaongeze ruzuku ili waendeshe chama chao, ACT-WAZALENDO hawana shida kabisa na kushika dola.
Mbona unawashtua sasa, si ni vizuri akiue ili mbaki chadema peke yenu kama "wapinzani wa kweli"....?
 
Uzuri ni kuwa ACT na CCM zinashirikiana Zanzibar ambako CHADEMA hamna chenu wala lenu.
SaSa CHADEMA si ina nguvu na inakubalika T Bara ingieni barabarani au itisheni migomo ili mwenyekiti atoke mahabusu na KATIBA MPYA ije mwanzo kabla TUME HURU. Kama kweli mnazo nguvu za kisiasa maana nguvu ya kisiasa ni kusikilizwa na watu. CDM hawawezi chochote zaidi ya matusi tu mitandaoni.

Mtawaelewa ACT soon na mtawaheshimu sana ACTzanzibar soon . Siasa yao na CDM ni kama UNIVERSITY na kindergarten.
 
Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.

Huwezi kuwa mstaarabu kwa mtu ambaye si mstaarabu. CCM hawataki ustaarabu wa kuendesha nchi hii, hawapo tayari kabisa kuona mabadiliko ya kimfumo yafanyike. Sasa ACT-Wazalendo kwa Hadaa za Zitto Kabwe wameingia kwenye mtego wa CCM kufanyia marekebisho NEC ambayo kimsingi hata viongozi wa kamati hiyo ni wanaccm. Hivi kuna asiyemjua Prof Mkandara Itikadi yake? Kuna asiyemjua Halafu Rashidi wa ADC ambaye Chama chake ni sawa na UDP ya Cheyo?

Sababu kuu ya ACT-Wazalendo ya kudai marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na siyo Katiba mpya eti wanataka tume huru ili wachaguliwe waende bungeni wakiwa wengi wakadai katiba, huu ni unafki wa hali ya juu sana. Yaani ACT hawaoni umuhimu wa kuandika katiba wao wanahangaika maslahi ya kisiasa badala ya mfumo? Hawaoni Shida wanazopata wananchi kupitia mifumo iliyopo ya kiutawala ila wao ni uchaguzi tu?
Kwa sasa watu wanalia majeshi la Polisi kwa sababu ya mfumo, watu wanalia na mahakama zetu kwa sababu ya mfumo, tunalia na Ufisadi kwa sababu ya mfumo, leo hii wenzetu wanaona mfumo unaweza kubadilishwa na NEC?

CCM hawataki ustaarabu lakini wanataka wenzao wawe wastaarabu, demokrasia ina gharama zake. Kama watu waliwahi kupoteza maisha, kama kuna watu waliwahi kupigwa risasi, kama kuna watu waliwahi kutekwa na kupotezwa , yote haya ni kwa sababu ya CCM kungan'ang'ania madaraka. Kwahiyo ni lazima kuwe na msimamo wa CCM kuondoka madarakani kwa nguvu ya umma wapende wasipende. Mtu anapokataa ustaarabu basi lazima nawe usiwe mstaarabu. Hii ni nchi yetu sote hakuna mwenye hati miliki nayo.

Zitto Kabwe hajawahi kushika madaraka makubwa kama aliyonayo ya sasa kama kiongozi mkuu wa chama chake, nafasi yake kwenye kutafuta suluhu serikali ya Mapinduzi Zanzibar anajiona ni nafasi kubwa na ananyenyekewa sana, kumbe hajui kuwa wenzake wanatazama mbali zaidi. Hicho chama kingefika mbali angekuwepo Maalim Seif, Zitto Kabwe si mwanasiasa wa kuaminika ,siyo wa kuachiwa taasisi pekee yake aendeshe. Sina imani kama Maalim Seif angekuwepo angekubali kudai marekebisho ya uchaguzi badala ya katiba mpya, au labda kwakuwa Katiba ya Zanzibar ina ahueni kidogo. Maskini Zitto amesahau kuwa Katiba ni muhimu zaidi kuliko tume.

Tunazungumza humu lakini ni suala la muda tuu. Tunajua suala liingine la ACT-WAZALENDO ni njaa wanataka wapate wabunge waende wakaongeze ruzuku ili waendeshe chama chao, ACT-WAZALENDO hawana shida kabisa na kushika dola.
Hivi wewe unajua act ilianzishwaje?mpaka uje hapa iseme eyi zityo ataiua act?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nguvu waliyonayo Zanzibar, ni ngumu sana hiki chama kufa. Ila ZItto akijikanyaga na kugomabana na viongozi wa Zanzibar kama akina Ismail Jussa na Nassor Mazurui atajikanyaga na kukiua chama.
Mbona CUF ilikuwa na nguvu Zanzibar ila sasa ni mahututi?
 
Si kwa ubaya lakini,Huyu mtoto wa mjini tangu kale huwa anajiangalia yy na act ni chama makini (kimaandishi) ila sasa muda wa yy kuthibitisha act ni kwa ajiri ya mabadiliko ya kweli ni kukaa pemben.
Hivi wakifufuka waliouliwa na wanyarwanda zanzibar wakasikia anasema mama hahusiki na ya zenji si watamuua???
ACT mnakaaje na mtu anashinda kwa msaidizi wa alieua wenu??
Au ni maudini???
Hima hima tupeni raha?
Awe mzee mshauri tu.
Amuachie nani chama?
 
Back
Top Bottom