Gazeti la Mwananchi limeongopa, Aliyemtishia Nape bastola sio mmoja wa waliokamatwa Mtwara

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,962
Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.

Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.

Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.

Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.

20220128_132327.jpg
 
View attachment 2098332
Magazeti yanayo wafulahisha ufipa na nadhani wamelinunua sana leona kujifulahisha na hiyo habali, 😁😁😁😁
 
Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.

Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.

Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.

View attachment 2098332
Ewaaaa, tulitaka mmtaje huyo Kisanduku

Ahsante sana😀
 
Binafsi gazeti la Mwananchi ni uchafu na wanafiki wakubwa ambao nao they just got their voices back!!,chanzo gazeti la Mwananchi...i don't buy it
 
Sasa kama huyu Henry kumbe anajulikana kwanini hajashughulikiwa? Au kutishia mtu bastola sio Kosa? Ndio haya haya tunaachia watishiaji watu bastola bila kuwakanya mwisho wa siku wanafanya kweli.

Trigger Happy....
Haipo hivyo, haya mambo sio rahisi kihivyo. Nape kipindi yupo ccm Kama kuu unafikiri hawajui waliomuwekea sumu Mwakyembe?
Wanajuaga wanachofanyiana huko nyuma ya pazia ndio maana yoyote linalomtokea huwa anapotezea.
 
Mwigulu yupo sahihi. Mnapaswa muelewe humu Kuna aina za wwtu tofauti, naishia hapa
 
Ewaaaa, tulitaka mmtaje huyo Kisanduku

Ahsante sana
Anajulikana wala sio kwamba hajulikani. Mwananchi wamemkosea Gilbert kwa kumfananisha na Henry. Japo Gilbert hili suala la mauaji limemchafua sana ila ni moja ya polisi wazuri, ni mzee mwenye busara zake
 
Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.

Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.

Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.

Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.

View attachment 2098332
Haaaahaaaa..uandishi wetu wa habari huu. Kama lengo ni kumpata yule jamaa mbona yupo? Nape amtafute tu
 
Back
Top Bottom