Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

IGP Sirro amefanya ukaguzi wa kushtukiza wilayani Kilindi ambako wananchi sita wameuawa katika mapigano kati ya Wakulima na wafugaji. Sirro amesema alijisikua maumivu moyoni baada ya kuelezwa na...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Salaam Wakuu, Hussein Bashe ana malengo mazuri ya kuinua Wakulima? Kaandika hivi; Nataka kukufahamisha kuhusu ‘Building a better tomorrow’ project Mradi huu uliopo hatua za mwanzo sisi wizara...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa...
8 Reactions
86 Replies
6K Views
Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro , kwamba hakuna yeyote atakayefanya Uhalifu nchini Tanzania ambaye Jeshi lake litashindwa kumdaka , imezua mjadala mkubwa mitaani...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
=========== Alichoongea Bungeni Tulia Ackson wakati akiomba kuchaguliwa kuwa spika wa bunge la Tanzania Jina langu naitwa Tulia Ackson, nami kama wagombea wengine nimekuja ili niombe ridhaa yenu...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
January Makamba: Bila Magufuli CCM ilikuwa Imekataliwa na Wananchi Uchaguzi 2015 Akiongea na kituo cha Taifa cha Utangazaji(TBC),Mbunge wa Bumbuli na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Ndugu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Marais wengi wameenda kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini , lakini mara baada ya jina la rais wa Tanzania John Magufuli kutajwa kwamba anaingia uwanjani ,raia wa Afrika kusini...
23 Reactions
383 Replies
50K Views
Kwenye magazeti ya leo kuna mojawapo ya gazeti limemnukuu January Makamba akiuponda utawala uliopita kuwa ulijaa kulindana kwahiyo uwajibikaji ukashuka kwa kiwango kikubwa hasa (kaongea kweli...
22 Reactions
192 Replies
26K Views
Serikali imekuja na sheria zake kama za mjeremani.Sheria ambazo zilikuwa kina na sababu za babu zetu kujitoa muhanga na kutoafutiana na serikali ya mjeremani.Hizi sheria za kuweka bila kuangalia...
13 Reactions
89 Replies
11K Views
Na Peter mwaihola Democratic Alliance (A.D) ndio chama cha upinzani chenye ushawishi nchini Afrika kusini katika uchaguzi mkuu wa mwisho kilifanikiwa kupata asilimia 20.77 nyuma ya chama tawala...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Shirika kubwa kama Tanesco ni sehemu ya miundombinu ya kimkakati yaani national Infrustructure strategy. Jukumu la Serikali ni kuhakikisha miundombinu hii inalindwa na kutunzwa vizuri zaidi...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Tundu Lissu kuna wakati tuliamini kama wana CCM anatumia dawa au ngekewa kutuchezesha segere na ngoma ya mpwito Bungeni na Mahakamani kumbe ni akili kubwa tu. Kila mtu ana mapungufu yake lakini...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndani ya Kipindi kifupi tumeona uwekezaji uliovunja rekodi tangu tupate Uhuru. Hatujawahi kuvutia uwekezaji kwa kiwango cha trilioni 9.6 thamani ya uwekezaji ndani ya miezi 9 yaani uwekezaji wa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Hapa kwetu kumezoeleka viongozi wa juu kutamba na kutoa matamko ya kumsifu Rais kwa kutoa fedha za maendeleo. Zambia mambo ni tofauti kabisa.
1 Reactions
2 Replies
583 Views
Hizi taarifa zinazidi kutisha na kuumiza, Gazette la Mwananchi Online limeripoti kupotea kwa vijana watatu tangu tarehe 24/12/2021 Hadi Leo huku Jeshi la POLISI likishindwa kabisa kutoa maelezo ya...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Mama Samia Mke wa Mzee Awadhi Hafidhi kutoka Makundi Zanzibar Ni mama mpole, mnyenyekevu lakini mvumilivu asiyetaka makuu ni mama mwenye Upendo. (Hapa nitapingwa lakini ndivyo alivyo). Ni kweli...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Habarini wazalendo wenzangu. Napata ukakasi sana juu ya kuelewa aina ya ziara anazofanya makamu wetu wa Rais, mbona ni kama haonekani kabisa kwenye ramani kwa anachokifanya? Suala la pili ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuwawajibisha maafisa wa serikali ni kitovu cha demokrasia. Uwajibikaji wa kidemokrasia unawapa wananchi na wawakilishi wao nafasi na njia ya kutoa maoni yao na kupatiwa maelezo kuhusu utendaji...
2 Reactions
3 Replies
896 Views
Spika mpya Dkt. Tulia ambaye ni mwana CCC TAG mwenzangu Mungu wa mbinguni akubariki sana. Tenda Wema kwa wabunge wote siku zote. Usiusahau ushauri/ nasaha za mama Makinda kwamba waache wabunge...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
JPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…