Salamu kwenu wadau!!!
Nchi yetu kupitia jeshi la polisi imeingia dosari kubwa baada ya polisi kuhussishwa na mauaji mengi ya RAIA nchini, hii nikutokana na aidha majukumu yao au ni ishara ya...
Nimeshindwa kuwaelewa Watanzania msimamo wenu uko vipi? Je ni kweli tunajua ni kitu gani tunahitaji au ni yupi tunamtaka.....Yawezekana hata tungeongozwa na Malaika bado lawama haziwezi kukoma...
Lutenant Denis Urio kwa Sasa anateseka na pande mbili, upande wa Kwanza ni upande watetezi wa Mbowe na washitakiwa wenzake.
Pia upande wa pili ambao unamtesa Leutenant Denis Urio ni upande wa...
Mzee Siro ni Moja ya IGP aliyewahi kuongoza jeshi kipindi Kuna mauaji mengi Sana akifutiwa Kwa karibu na Mzee Mahita. Siro amepokea jeshi kipindi Cha saga la Kibiti na Toka hapo mauaji yaliendelea...
Humphrey Polepole amesema kuwa
"Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya...
Rais Samia Suluhu akiwa mkoani Mara kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji ameongelea suala la miradi ya Serikali. Ameuongelea mradi huo ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya tano lakini...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumzia mauaji yaliyotokea Mtwara ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi ambapo Jeshi limeunda kamati...
Tuhuma za kijana wa ACT Wazalendo kupigwa siku ya mkutano wa kuwachagua viongozi wao pale Mlimani City Abdu Nondo leo amekiri ni kweli alipigwa makofi mawili matatu tu.
Wanachama wa visiwani...
Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
Akizungumza leo Jumapili Februari 6, 2022...
Wazee wa Chadema mkoani Kigoma wamemchukulia fomu Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake Freeman Mbowe leo kutaka agombee uenyekiti katika uchaguzi wa Septemba mwaka huu.
Wazee hao...
Nilikuwepo Februari 1977, nilishiriki paredi ya chipukizi wa chama kipya cha CCM, wakati ule hata Mwenyekiti na viongozi wenzake hawakujivika mavazi yenye rangi kama bendera.
Leo wanafiki wanavaa...
Ikumbukwe kwamba mradi wa hospitali hiyo ulianza kutekekezwa na kusainiwa katika serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa DR JOHN POMBE MAGUFULI mradi huuu kabla hajafariki ulikuwa umefikia...
Kiukweli hata ikitokea akastaafu leo IGP Sirro atakumbukwa kwa uongozi wake wa kisayansi ambao haukuamini katika kutumia maguvu bila akili.
Kadhalika wanasiasa tutamkumbuka kwa namna ambavyo...
Eti Polepole anapinga uchifu awamu hii ya sita wakati awamu ya tano hakupinga - Acha ikae hivyo hivyo!
Eti alipata kura za Uspika 100% wakati za chinichini zinaonesha kuna waliomkataa - Acha ikae...
Nina tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania - huwa hawajui kufuatilia mambo, na mara nyingi wanaishi kwa ajii ya siku iliyopo tu.
Kuna wakati kurugenzi ya Habari ilitangaza kwamba Chancellor...
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya...
Wanabodi JF!
Nawasalimia popote mlipo.
Moderators JF!
Pia nawasalimia,nikiwatakia kazi njema.
Twende kwenye mada yangu!
Hivi sasa nchini imekuwa jambo la kawaida, kuwaona au kuwasikia viongozi...
Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili...
Uongozi wa serikali ya mtaa wa Jitegemee, kata ya Mabibo, wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam umewatangazia wananchi wa mtaa huo kulipa malipo ya 2500 kila tundu ya choo kwa ajili ya kupulizia dawa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.