Ukistajabu ya Odinga kujiapisha kuwa Rais wa Kenya mwaka 2018, utayaona ya Zitto na Baraza Kivuli nje ya Bunge.

DT125

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
380
573
Hiki ni kituko kingine au anaota u-KUB ( Kiongozi wa Upinzani Bungeni). Mhe. Zitto kutangaza Baraza la Mawaziri umetukumbusha tukio la kujiapisha kuwa Rais wa Kenya. Unatangaza Baraza la Mawaziri waiotambuliwa na Bunge au wasiokidhi vingezo la kwani Tanzania kwa sasa hatuna Kambi Rasmi la Upinzani ambao kwa kanuni za bunge ndiyo yenye haki za kuunda Baraza Kivuli.
 
Time will tell
 
Kambi rasmi ya upinzani huundwa na chama chenye wabunge wengi bungeni. ACT ndicho chama chenye wabunge wengi bungeni kwa Sasa. Wale COVID-19 wamekanwa na chadema. Hivyo wapo wapo tu hawakiwakilishi chama chochote.

Sasa kwann Zitto aonekane kituko anapotumia haki ya kikatiba ???
 
Tatizo la chadema lilianzia huko zamani za kale

JamiiForums-1696724364.jpg
 
Hiki ni kituko kingine au anaota u-KUB ( Kiongozi wa Upinzani Bungeni). Mhe. Zitto kutangaza Baraza la Mawaziri umetukumbusha tukio la kujiapisha kuwa Rais wa Kenya. Unatangaza Baraza la Mawaziri waiotambuliwa na Bunge au wasiokidhi vingezo la kwani Tanzania kwa sasa hatuna Kambi Rasmi la Upinzani ambao kwa kanuni za bunge ndiyo yenye haki za kuunda Baraza Kivuli.
Angetangaza lini litaapishwa na IKULU IPI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Zitto kiongozi wa ACT na hii ndio mipango yao.
Cdm nayo ije na mipango yake'na sio kukosoa mpango wa chama kingine kisha wewe huleti mpango wako hiyo ni chuki dhidi ya Zitto.ni upoyoyo.
 
Back
Top Bottom