Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha. Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Wasikilizeni hao vijana wa ccm wanavyo jitapa kutenda maovu. Kama nchi au taifa lazima tukemee matendo ya hovyo kama haya maana ni aibu kwa wananchi.
1 Reactions
7 Replies
883 Views
Mkuu wa wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya amesema TAKUKURU walimkamata na kumkagua bila kufuata utaratibu. Sabaya amesema askari anayemvamia mtu usiku wa manane ili kumkagua bila kuwa na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
  • Closed
Kwa wanaomfahamu Shaka tokea akiwa UVCCM hadi sasa akiwa Katibu wa Itikadi na uenezi watakubaliana nami kuwa ni kijana "mahiri" na mwenye mvuto wa aina yake. Nadhani mmenielewa hasa wanaccm.
9 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalaam wana Jamvi! Moja kwa moja kwenye mada. 1. Hakuna watu wenye raha katika nchi hii kama Wazanzibari. Wao wana privillages nyingi sana katika taifa kuliko mwananchi wa sehemu yoyote. Wao...
20 Reactions
74 Replies
4K Views
Salama? Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana. Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
Ndugu zangu! Kwa wale tunaofuatilia kwa ukaribu hii kesi pendwa, tutakumbuka maelezo muhimu kutoka kwa mashahidi wa pande zote mbili. Kwenye kesi ya msingi, tulisikia ushahidi wa ACP Kingai...
47 Reactions
257 Replies
23K Views
Marekebisho ya mitambo ya gesi Songi songo kwa ajili ya kuzalisha umeme umefikia 50% Kazi inakwenda vizuri na matarajio ni kukamilika ndani ya siku 10 zilizoahidiwa na DG Maharage. Source: ITV...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha...
27 Reactions
72 Replies
5K Views
Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nukuu za aliyoyazungumza Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, leo Jumatatu Februari 7, 2022: "Sikiri kuwa, kuna makundi yanayoutaka urais kwa maana wanasubiri ratiba kugombea, bali kuna...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA MOSHI YAWARIDHISHA VIONGOZI NA WADAU MBALIMBALI Kamati ya Fedha na Uongozi Chini ya Mstahiki Meya Juma Raibu imeridhishwa na utekelezaji wa miradi...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Wakati Marekani inaingia kwenye vita ya dunia, kwa mara ya kwanza ndio ikawa mwanzo wa kodi kwa raia wake sababu ikiwa ni kugharamia vita kama wanainchi wazalendo dhidi ya vitisho vya wa NAZ...
1 Reactions
0 Replies
504 Views
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa na ni Heshima kubwa sana kwa JF na ni recognition ya nguvu sana. Kutambuliwa huku kwa JF na Jumuiya za Kimataifa kunakuja kutokana na UHURU...
61 Reactions
129 Replies
11K Views
Nyendo The Sheriff Replica Suley2019 Erythrocyte Katika kesi muhimu inayoendelea ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na wenzake. Wenzetu Hawa...
6 Reactions
2 Replies
771 Views
Kwema wanabodi? Heri ya mwisho wa wiki kwenu nyote. Orodha ya wanachama 11 waliojitokeza kuchukua na kurejesha fomu kuomba kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Naibu Spika ni: 1. Joseph Tadayo...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Leo tarehe 6/02/2022 Viongozi wa Bavicha Taifa wameshiriki Misa Takatifu katika Kanisa Katoliki , Parokia ya Mafumbo Bukoba Mjini , ambako wameshiriki Kikamilifu kwenye Harambee ya kuchangia...
7 Reactions
60 Replies
4K Views
Amesema utekelezaji wa Miradi unakwama kutokana na mambo hayo matatu, akiwataka Viongozi kuacha mivutano na Siasa ziende vizuri Amesema bado Fedha zinafujwa na kuliwa kwenye Miradi kadhaa ya Mkoa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Habari Ya Mda., Pokeeni Taarifa Kutoka Latra kuhusu Root za Daladala. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…