Mafisadi wanahaha kila kona jinsi ya kujinasua na hii miradi ya matrilioni iliachwa na Magufuli na ambayo inaonwa na wananchi kama kipimo cha utendaji kazi wa serikali ya sasa. Bila kukamilika kwa...
Picha Dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema, masuala ya changamoto za Machinga ikiwemo kuhamahama, watazungumza na...
Habari wakuu!
Gazeti la RAIA mwema Leo limetoka na habari kuu yenye kichwa cha habari Makonda ni nani? Yule mchimba mchanga, mkata mkaa?
Na mimi nauliza ndiye yule au mwingine?
========
LEO...
Elimu Dodoma ; -
Uongozi wa Mkoa Umewazawadia kwa kuwalipia Ada ya miaka 2(Form Five na Form Six).
Zawadi hii ni kwa wanafunzi wote waliofaulu mitihani ya kidato cha nne kwa kupata Daraja la...
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio...
Matukio makubwa yanayoendelea hapa nchini Tanzania ni kuhusu mauaji, wapo wanaowaua wengine na wengine wanajiua, daa! Bongo hali mbaya.
Lakini upande wa pili kuna kesi na taarifa kadhaa kuhusu...
Wakati tunaiona serikali ya awamu ya tano tulikua na picha halisi ya wapi tunaelekea kama Taifa.
Malengo ilikua ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakua nchi ya viwanda.
Ili kutimiza lengo hilo swala...
Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dk.Freddy Manongi kwa kukiuka...
Kiuhalisia, wakati wa awamu ya 5 mifumo mingi ya utawala au ilivurugwa au iliuawa kabisa.
Moja ya taasisi zilizouawa ni Bunge. Wabunge walipatikana kwa kupitia uchaguzi bandia. Wabunge hawa...
Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini.
Huyu so-called Shangazi is caping...
#Kaziiendelee
Kuna viingozi wa kisiasa ambao mara nyingi huwatuhumu na kuwashtaki wakurugenzi na Wakuu wa Idara mara kwa mara.
Wanaweza wakawa na hoja lakini pia wanaweza wakawa ni sehemu ya...
NUKUU YA HOTUBA YA KATIBU MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI OFISI YA CCM WILAYA MUSOMA VIJIJINI 02 FEBRUARI 2022
"Uamuzi wa kuanza kuyaunganisha Mataifa ya Tanganyika na...
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache
Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi...
Dada yangu Dkt. Tulia, tunajua uliitamani sana hii nafasi, na hatimaye wabunge wote ndani ya bunge la JMT wakakupigia kura ya NDIOO, Ukapita.
Ukiachana na 'favourite' unayoipata katika utawala...
Moja kwa moja kwenye mada.
Rais wa JMT amefyekelea mbali upigaji wa Fedha za umma ambao uliandaliwa wa watendaji wa Serikali kwa ajili ya kufanya zoezi la uwekaji wa Anuani za Makazi.
Awali...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukosekana Mfumo wa uhakika wa utambuzi wa Wakazi na Makazi umepelekea athari nyingi kiuchumi, kiusalama na kijamii.
Amesema manufaa ya Mifumo hiyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura...
Usije ukathubutu kutumia cheo ulichopewa kuumiza wengine , kwa vile hawana uwezo wa kukufanya chochote .
Kumbuka IKO MIKONO YA MUNGU AMBAYO HAIZUIWI NA CHOCHOTE , yaweza kukufanya chochote wakati...
Nimemsikia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , Mh Hamad Masauni akiitisha kikao cha Wakuu wa Polisi Nchi nzima ili kujadili masuala ya mauaji yaliyoibuka upya nchini Tanzania , huku tukio la mauaji...
Kuanzia Januari 29 hadi Februari 6, 2022 visa vipya 252 vya COVID19 vilibainika kati ya watu 8,529 waliopimwa huku Dar es Salaam ikiongoza kwa kuwa na maambukizi 184.
Tangu Mlipuko kuripotiwa...