Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msanii wa reggae ambaye pia ni mfanyabiashara ndogondogo Ras Mtimanyongo amesema hajashangaa kusikia Mbowe ana kesi ya kujibu ila angeshangaa kama ingekuwa kinyume chake. Hii kesi ina pressure...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanabodi, Chadema imetimiza miaka 30. Tangu ile Chadema inazaliwa miaka 30 iliyopita, imezaliwa na kunikuta mimi tayari niko newsroom kwa zaidi ya miaka 2, hivyo Chadema imezaliwa naiona, inakuwa...
18 Reactions
76 Replies
5K Views
Kiukweli CCM ni chama ambacho tumekichoka sana tena sana, lakini upinzani tulionao nao ni tatizo hasa kwa viongozi. Lissu ameongea na rais. Vizuri na ameshauri vizuri nadhan angetulia tu kwanza...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Baada ya kushinda kwenye jukwaa la mapenzi kwa muda mrefu kutokana na Mambo ya mwenda zake ya kutishia wapinzani. Na wengine walipotea na kuuliwa bila kusahau dhuruma ambayo iliwatokea watu wanao...
2 Reactions
5 Replies
733 Views
Hata kama Spika atawachukulia kuwa NI wanachama halali wa Chadema. Chadema imeshatoa ufafanuzi nyaraka zilizotumika kuwaingizwa bungeni zimefojiwa. Na wanaoandaa nyaraka hizo wameshatoa taarifa...
14 Reactions
77 Replies
5K Views
Rais Samia: Walimu mambo mazuri yanakuja Serikali imeahidi neema kwa walimu huku ikiwataka waendelee kufanya kazi kwa ari na moyo wa kujituma, Ahadi hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anajua sana kuzicheza Siasa za Kimataifa na kuiendea Diplomasia ya Uchumi na ndio maana kwa muda mfupi wa Urais wake ameweza kuzishawishi Jumuiya nyingi za Kimataifa na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu kwenye post hii.Ndugu zangu wanajamii forum great thinker naomba kujilipua msemo wao. Katika taifa letu kuna viongozi wanapokuwa madarakani wanajisahau...
1 Reactions
0 Replies
651 Views
Binafsi naona kitendo cha mahakama kuamua kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu Kwanza ni maumivu makubwa ya kisaikolojia na kimwili Kwa wahusika Kwa kukosa Uhuru na kushindwa kuendesha maisha...
16 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais; Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Uteuzi wa Balozi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Utaratibu wa CCM zamu ni miaka 10 ambapo tulizoea ile ya mkristo na mwislamu. Lakini sasa kutokana na kupanuka kwa demokrasia kigezo cha jenda ni muhimu kuzingatiwa. DC Jokate anasema zamu ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu...
56 Reactions
125 Replies
16K Views
Yaani kuna kipindi nakaa na kuangalia yanayowatokea wenzetu kule Msumbiji, Uganda ambapo kuna matukio ya Kigaidi kweli kweli na inaonekana wazi kuwa huu ni Ugaidi. Na report zikitolewa inaonekana...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Jaji anayesikiliza Rufaa ya Lengai Ole Sabaya amewataka Mawakili wa Serikali kuacha tabia ya kuomba kuahirisha kesi mara kwa mara. Kesi imeahirishwa hadi Jumatatu, 21/02/2022 Chanzo: ITV habari
2 Reactions
8 Replies
1K Views
CCM baada ya kuona fukuto la katiba mpya, wakaamua kumpa Mbowe kesi ya ugaidi, ili kuzima sekeseke la katiba mpya, lakini naona movement za Katiba mpya zimepamba Moto, Mambo yalianza kiutani utani...
0 Reactions
9 Replies
740 Views
Habari wanabodi, Nimekuwa nikifatilia siasa za ndani na nje ya Tanzania yetu hii.kiukweli juzi kitedo cha Mama kufuta mashtaka yote ya TAL ni ishara kwmba tuna katiba mbaya kuwahi kutokea...
9 Reactions
10 Replies
802 Views
Katikakati ya umeme inayoendelea nchini baadhi ya wabunge bungeni wamekuja juu baada ya kuona nchi inakuwa gizani mara kwa mara huku wenye viwanda wakifunga viwanda vyao kwa kukosa umeme wa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kitila Mkumbo Siku ya Jumamosi tarehe 20 Februari 1999 imebaki kuwa rejea katika maisha yangu. Hii ni siku ambayo Profesa Mathew Luhanga, wakati huo akiwa Makamu Mkuu wa Chuo (VC) Kikuu cha Dar...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kutokana na harufu ya ufisadi mkubwa wa fedha za Uviko kwenye Halmashauri nchini kote, serikali imeunda tume malumu kufanya uchunguzi. Source: ITV habari
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Hawa watu kuanzia mwenyekiti wao wanaishi na nafsi zinazowatesa sana kwani wanajua kabisa kuna mtu wanamtesa, mtu asie na kosa wala hatia yoyote. Wanaumia na kuteseka sana wanapoona picha za Mbowe...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…