Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
309
1,000
Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa zaidi ya uonevu tu. Hakuna si upande wa utetezi wala upande wa mashtaka kwa ushahidi uliotolewa mtu unaweza kusema hawa ni magaidi hata kama hukumu ya mahakama bado.

Mmeamsha hisia za watu, hawa walikua ni makomandoo hamjui wameacha jamaa zao wangapi kule kazini, wanafamilia na wana wazazi wao walivuja majasho kuwalea. Basi mfanye hayo yote kwa kosa linalodhihirika, hapa tunasikia kua walikamatwa tuu walikua wakila njama za kulipia vituo vya mafuta kwa ujira wa laki 6. Tunajua ushahidi wa Mbowe utahitimisha kila kitu, mmeitonesha jamii, mmeumiza watu mno.

Kingai na Mahita kama maafisa wa polisi wanatajwa sana kuongoza hili zoezi, hivi wao si binadamu? Kweli mti ambaye tu hana historia ya tukio baya kwenye jamii tena wengine tunaambiwa ni wachamungu mnawakatili kiasi hicho?

Hiki kiburi cha utesaji kwa ukatili huu kinatoka wapi? Shida ni Mbowe tuu au kitu gani kuumiza watoto wa watu kiasi hiki?

Haya,shahidi anasema Goodluck alimwambia tutakutupa kama Moses Lijenje ukijifanya jeuri, huku polisi mmekana kumpata Moses Lijenje. Iko siku Goodluck atasema mlimtupa wapi.

Mungu atie ukuu wake katika hili, wenye roho za Wanyama na wageuke kua wanyama kama Nguruwe.
 
ki2c

JF-Expert Member
Jan 17, 2016
3,155
2,000
Nahisi mahakama inaweza kufanya itakachoweza kufanya,halafu hao makomando au watu wengine wanaohusika kwa namna moja au nyingine na kuumia kwa hao wanajeshi,watafanya yao.Unamtesa mtu kupita kiasi,hadi mamaake aaumia akisikia,halafu uachwe tu hivihivi?Siyo vizuri
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
2,728
2,000
Haya majitu, ni mashetani katika maumbile ya wanadamu. Ina maana hili likingai na wenzake, yalimwua Manjenje. Hii mijitu inatia hasira.

Yanaua watu wasio na hatia. Si afadhali tusingekuwa na polisi, tubakie tu kupambana na majambazi yanayofahamika wazi kuliko majambazi tunayoyalipa wenyewe kwa kodi zetu?
 
Kiby79

Member
Feb 1, 2021
70
125
Hata mateso ya makaburu ya Afrika kusini yalikuwa na nafuu ya haya ya tanzania kulingana na zama.
Wao kutokana na kutokuwa wataalam wa mahojiano, huamini kutumia njia ya mateso ndio watapata ukweli, matokeo yake ndio hayo,!!ki ukweli kwa ushahidi huu wanaoutoa hawa mashahidi ingekuwa ni nchi za jamii ya wastarabu , mahita na kingai, lazima tu una siku wangetakiwa kujibu hayo!!na hayo ni machache tu, badaye mtu unakuja kushangaa kwanini maaskari wengi wakistaf huwa wanaishi maisha ya tabu sana kwenye jamii?
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,546
2,000
Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa zaidi ya uonevu tu. Hakuna si upande wa utetezi wala upande wa mashtaka kwa ushahidi uliotolewa mtu unaweza kusema hawa ni magaidi hata kama hukumu ya mahakama bado.

Mmeamsha hisia za watu, hawa walikua ni makomandoo hamjui wameacha jamaa zao wangapi kule kazini, wanafamilia na wana wazazi wao walivuja majasho kuwalea. Basi mfanye hayo yote kwa kosa linalodhihirika, hapa tunasikia kua walikamatwa tuu walikua wakila njama za kulipia vituo vya mafuta kwa ujira wa laki 6. Tunajua ushahidi wa Mbowe utahitimisha kila kitu, mmeitonesha jamii, mmeumiza watu mno.

Kingai na Mahita kama maafisa wa polisi wanatajwa sana kuongoza hili zoezi, hivi wao si binadamu? Kweli mti ambaye tu hana historia ya tukio baya kwenye jamii tena wengine tunaambiwa ni wachamungu mnawakatili kiasi hicho?

Hiki kiburi cha utesaji kwa ukatili huu kinatoka wapi? Shida ni Mbowe tuu au kitu gani kuumiza watoto wa watu kiasi hiki?

Haya,shahidi anasema Goodluck alimwambia tutakutupa kama Moses Lijenje ukijifanya jeuri, huku polisi mmekana kumpata Moses Lijenje. Iko siku Goodluck atasema mlimtupa wapi.

Mungu atie ukuu wake katika hili, wenye roho za Wanyama na wageuke kua wanyama kama Nguruwe.
Ina maana polisi walishamuua Lijenje!!!
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
7,416

Yaani Mungu ameamua kuonyesha maovu ya serikali ya Ccm kupitia hii kesi..
Haikuja kwa bahati mbaya yote ni mipango ya Mungu ili siku atakapo amua kuilipiza hii laana kwa wana Ccm na maovu yao wasije sema laana ime toka wapi.
Ili Mh Rais Mama Samia hiki kikombe kimuepuke na asije kulaaniwa na kizazi chake, ina takiwa kwa muda huu huyo Kingai na Mahita wawe wako mahabusu pamja na boss wao Siro. Maana Siro alimjaza Mh. Rais makande. Hakumueleza ukweli wa hili jambo. Polisi mmejipaka mavi usoni.
 
Wasomba

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
257
500
Mm nampenda sana mama Samia ila kwa tukio hili simuungi mkono hata kidogo. Mama anaharibu heshima yake na jili jambo linamtia haibu.
 
avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
4,838
2,000
Asilimia 87 ya story kesi tunazozisoma kwenye sheria ni maelezo ya kutunga ya kila pande ili kuweza kushswishi mahakama kukupa.ushindi. Ninashangaa aliyetoa wazo la ktumia vitabu vitakatifu kuapa halafu baadaye unatoa story ya kutunga.Ukitaka kuamini mtuhumiwa kisomewa kesi akikubali hata hakimu anamshangaa. Hivyo hata mawakili wanawaongoza wateja wao kusema uongo ili waweze kushinda kesi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom