sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,028
Zanzibar na Tanganyika zinaunda Tanzania.....pasu kwa pasu ndio mpango..Meli pasu kwa pasu, Ndege pasu kwa pasu, pesa za sherehe za muumgano pasu kwa pasu, kuna uke mkopo flani hapo nyuma Zanibar ilipewa bilioni 250 tu kati ya 700 hivi, hii haikuwa sawa, sasa tunaenda kuweka mambo sawa kwa hii trilioni kupigwa pasu kwa pasu.
Spika bora kuwahi kutokea Tanzania Spika Tulia, ambae bado ni kijana mwenye nguvu na mwenye akili ya kufanya critical thinking tuma hakika ni mzalendo, hana ukafi, hili litapita tu vizuri kabisa 😋😋😋
Mtu anaekosoa muungano anamkosoa baba wa taifa Nyerere, chunga sana kinachotoka kwenye mdomo wako.
Muungano utakindwa