Alikuwa anaongea kana,anasema watu wengine katika wizara yake wanamonopolize gari,hawataki mtu mwingine alitumie,kwa hiyo wakati mwingine kazi hazifanyiki wakati gari ziko idle. Huo ni...
Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura...
"Nashukuru kwa mapokezi mazuri kweli mnanitia moyo, tulikuwa kwenye ziara Nchi mbili za Ulaya (Ufaransa na Ubelgiji), tulianza Ufaransa kwa mwaliko wa Rais Macron nadhani mliona nimekutana na Rais...
Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la...
Kampuni kubwa ya Nishati duniani, Shell, imeeleza kuwa imepiga hatua kubwa katika miezi ya karibuni kwenye majadiliano yake na serikali ya Tanzania kufanikisha ujenzi wa kiwanda kikubwa cha...
Baada ya Maulid Kitenge kufanya tour na timu yake Ngorongoro watu walijitokeza nakusema alivyolipwa na kwamba ana tekeleza matakwa ya watu flani na siyo utashi wake.
Siku chache Balile kawaitisha...
Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo.
Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu...
Baada ya Majibu ya Waziri wa Nishati kuomba apewe muda ili arekebishe suala la kukatika kwa umeme, sasa hofu imekuwa kubwa juu ya auendeshaji wa miradi inayotegemea umeme,
Miradi hiyo ni kama SGR...
Ni muhimu kujitahidi kupunguza lawama, kulalamika na kunung'unikia kila kitu kwani hiyo huwachanganya viongozi na mwisho kuamua kufanya chochote ili iwe vyovyote vile.
Yaani akisimama malalamiko...
Tulishuhudia hapo majuzi, Jaji Tigana akifanya uamuzi ambao umekuwa kinyume cha matarajio ya mamilioni ya watanzania, kuhusu Kesi ndogo inayohusu Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema...
Tujikumbushe.
1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP
2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi
3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP
4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete
5. Awamu ya tano Rais...
Karibu nyumbani Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Siku 10 ulizofanya ziara Ufaransa na Ubelgiji, tayali tumepata Fedha nyingi sana kwenda kuongeza nguvu kwenye sekta mbalimbali za maendeleo kama reli...
Leo Jumanne Februari 22, 2022 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Barabara ya Uongozi yenye Km 1.8 Mjini Kibaha kuanzia saa 3 na...
Mwezi uliopita tulikuwa na ile ya balozi feki Myemen Salaaah kule Guanghzou China. Mwezi huu wa November ni hawa jamaa wa Akina Maktum wa Dubai.
Ina maana ndio pesa za Kampeni au?
Tanzania has...
Habari Member's JamiiForums.
Habari Moderators JamiiForums.
[emoji871]Kama kawaida naomba niende kwenye Mada.
[emoji871]Nimemsikiliza God bless Lema akiongea kwenye moja ya mitandao kupitia...
Wanabodi, Viwanda vyetu vikifanya kazi kwa uhakika umeme wetu hautoshi kabisa, Umeme wetu unatosheleza matumizi ya nyumbani tu hapa Tanzania.
Kwa sasa huu umeme kidogo tunagombania matumizi ya...
Nimesoma mahali kuwa Mhe. Rais kesho tarehe 22.2.2022 atatembelea Mkoa wa Geita a wakati yuko ziarani Mara alikupa salamu kuwa na wewe unaweza kuwa kati ya wale Wakurugenzi wenzako waliotumbuliwa...
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani...
Huu uzi nauandika kwa kuangalia trend ya viongozi wetu.
Kila tunapopata kiongozi mkali anayebana mambo mbalimbali anayekuja anaaachia, ni kama vile wanapokezana liberals na republicans japokuwa...