CHADEMA ipo mioyoni mwa watanzania.
CHADEMA inapitia magumu ya kipesa na hata ya kukandamizwa na wenye dola.
Lakini inaimalika kila siku, na uzuri inaimalika ndani ya mioyo ya watanzania...
Afisa Manunuzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Mussa Kimwaga amemlalamikia Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa kutukana na kuwa mbabe kwa watumishi.
Bw. Kimwaga akitema cheche
Tuna ubunifu...
Na Mwl Udadis
Taarifa ya Benki kuu ya Tanzania inaonyesha bidhaa za zetu zinazouzwa nje zimeongezeka hadi kufikia thamani ya Dola za kimarekani Bilioni 1.2 kutoka Milioni 908.6 mwaka 2020...
Huku Rufiji jiji cha Mloka kuna vyama viwili tu vinavyojulika (ccm na cuf) chadema hawakijui,Ila wananchi wa Mloka wamechoka na vyama hivyo wanaisubiri kwa hamu M4c ifike huku.Fanyeni hima...
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa...
Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani.
Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu?
7
Mama unakumbuka Serikali ya JK ilivyoyumba? Ilianza kuyumbishwa Bungeni. Genge ambalo halikuridhishwa na ushindi wa JK 2005 likaungana na genge la mtandao wa JK lililokasirika kwa kukosa vyeo...
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa
Sote tunafahamu yanayoendelea hapa nchini kwetu,ukiachana na suala la Ngorongoro Conservation suala la moto kwa Taifa hili ni kesi ya Freeman Aikaeli Mbowe...
Kesi ya Freeman Mbowe ni ya ki historia, imetengenezwa faili kabla hata ya kukamatwa, imefunguliwa jalada huku wakiwaza afunguliwe shitaka la kummaliza.
Inasemekeana Lissu na Mbowe ni threat...
Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.
Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu!
---
KONGWA UMEME ULIKUWA UNAKATIKA...
Wapo wachumi wengi mashuhuri duniani ambao wamefanya tafiti juu ya impact of foreign aid on economic growth. Wamefanya hivyo kwa kuangalia data za kipindi kirefu. Kwa mfano, wapo walioangalia data...
Nimejaribu kufuatilia Kwa ukaribu wengi wa wakosoaji na wasifiaji wengi Kundi kubwa ni Vijana,na shida kubwa ya ulimwengu huu tulionao wa sayansi na teknolojia,Vijana wengi wanamiliki simu...
Wengi wa wanachama au wafuasi ni watu wa kushabikia political issues bila kuwa na uwezo wa kufanya analysis na kuchambua mambo.
Kwa mantiki hii tufanye usajili makini kupata watu makini.
Kila...
Imekuwa muda mrefu sana, Watanzania waishio Kusini mwa Tanzania pia wanatamani uwatembelee hata kama utakwenda mikono mitupu.
Hakuna makuu kule, 2025 si mbali.
Chama cha mapinduzi kimezindua chuo chao cha uongozi wiki hii kilichojengwa kwa kushirikiana na vyama rafiki barani Africa kwa ajili ya kuwapika au kuwafunda viongozi watarajiwa wa nyadhifa...
MRADI wa Maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam (DMGP)
Mradi huu unaohusisha ujenzi wa gati namba moja hadi nane umefikia asilimia 95 ya ujenzi wake huku uzinduzi rasmi wa mradi huo ukitegemewa...
Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, mapenda kutoa yangu machache ya moyoni kumshauri Rais wangu mpendwa MH SSH, katika uongozi...