Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wana jamvi Nimejaribu kutembelea mitandao mbali mbali, Instagram Facebook/meta Twitter,n.k nimegundua Kuna harakati za kizalendo huko mitandaoni zinaendelea, vijana ni mabalozi wa sekta...
0 Reactions
4 Replies
586 Views
Rais Hakainde Hichilema kutoka Zambia na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka Tanzania ndio marais pekee kutoka Africa wanaokwenda ng'ambo kwa kutumia ndege za abiria|Umma. Rais Samia Suluhu wa...
17 Reactions
189 Replies
16K Views
Bw. Gabriel Fabian Daqarro ateuliwa na Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mkuu wa wilaya ya Arusha.
5 Reactions
131 Replies
65K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati...
17 Reactions
117 Replies
10K Views
Kwa muda mrefu nimefuatilia mijadala na makala mbali zinazohusu taifa letu. Nimeona wengi wakilalamika, wakikosoa hata kutukana mamlaka kubwa zaidi ya nchi yetu. Nilichogundua Watanzania wengi...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani amkeni amkeni Huko Dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za...
19 Reactions
194 Replies
12K Views
Mwenye kuelewa atusimulie na sisi tuwe sehemu ya mpango huu , maana hiki Chama kila mara kinakuja na mambo mazuri ya kushangaza lakini ya kuigwa pia. Zipo taarifa kwamba CHADEMA ndio wanaotoa...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
KAULI YA NAPE KUWA,HAKUNA WIZI WA VIFURUSHI NA MWENYE USHAHIDI APELEKE, NI YA HOVYO MNO. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Wizi upo na ushahidi ni vigumu kuupata. Na hii ni kwasababu...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais anatumia akili nyingi,nguvu na fedha nyingi sana kuhakikisha mradi wa kihistoria wa reli ya kisasa ya umeme unakamilika. Siku chache zilizopita TRC imesema wapo katika mchakato wa...
0 Reactions
10 Replies
981 Views
No dividend as profit tumbles, reveals Swissport SWISSPORT Tanzania has declared there will be no dividend to shareholders after its profit tumbled in the first half of this year due to business...
2 Reactions
56 Replies
11K Views
Utaratibu huu mpya wa " kuwezesha mambo " ndani ya chama ama waweza kuita kusongesha ni MPANGO MAHSUSI wa kuchangia CHADEMA kwa lengo la kuharakisha ukombozi. Sasa Kuanzia tarehe 1/03/2022...
18 Reactions
69 Replies
4K Views
Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande. Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lissu ndio anaishi upande wa magharibi. Maendeleo...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Na Bwanku M Bwanku Leo Jumanne kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan kule Falme za Kiarabu (UAE) ambapo Jana Jumatatu Februari 28...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mapokezi ya Spika wa bunge la Tanzania ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dk Tulia yameacha historia kwenye jiji la Mbeya leo. Wananchi kuanzia mkoa wa Iringa wamejipanga barabarani...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye amemjia juu kwa mara nyingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kusema kwamba hakuunda kamati ya kumchunguza yeye, bali aliunda kamati ya kuchunguza tukio la...
5 Reactions
119 Replies
15K Views
Habari Wakuu! Mambo yetu yanasikitisha mno. Yanahuzunisha Sana. Tumezoea kulalamika. Tumezoea kulaumu wengine huku Sisi tukifanya yaleyale. Taikon sitaki kumlaumu yeyote. Siku zote nitakuwa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole wakati akiongea na waandishi wa habari amesema CCM na watanzania wenye akili timamu wamejipanga kuwafundisha adabu...
8 Reactions
67 Replies
6K Views
Haya ndio nitakayofanya nikishika hatamu na kuwa kiongozi:- 1. Nitaendelea kulinda Tunu za Taifa vkiwemo Mwenge wa uhuru na Muungano wetu uliodumu kwa muda mrefu Sana. 2. Nitaendeleza miradi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mheshimiwa Rais, Umefanya ziara ya kikazi huko UAE, hilo ni jambo zuri tunalifurahia Lakini wakati ukifanya Ziara hiyo, Watanzania hatujasahau kuwa Kampuni ya waarabu wa UAE iitwayo OBC imekuwa...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…