Kama mwananchi wa nchi hii na mlipa kodi nimesoma na kusikia kupitia magazeti, luninga na mitandao kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa chini ya kiwango. Naomba kuuliza maswali yafuatayo:-...
Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.
Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa...
Ndugu zanguni,
Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi.
Hili limekaaje?
Hawa hawakuwa ''magaidi?''
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
DPP LEO TAREHE 01.03.2022 AMEWAFUTIA...
"MTOTO ALIYEANDIKA BARUA YA KUACHA SHULE ANA AKILI SANA" RC TABORA
"Niliongea na mkuu wa mkoa wa Mtwara baada ya kuona barua ya mtoto aliyetaka kuacha shule, nikamwambia huyu mtoto ana akili sana...
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu || Viva Samia Viva
________________________________
Wakati baadhi ya Watanzani wasiofuatilia...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Haki huinua Taifa, Nchi yetu imeanza kuingia midomoni mwa Watu kila kona duniani kwa sasa,
Kwa Taarifa hii tu, Dar es salaam itapokea wageni lukuki toka nje na...
Chadema haikufika hapo ilipo kwa kutamani NCCR, CUF zishuke zife ili wao wawe juu bali walipambana na CCM hadi wakafika walipo. ACT wakitegemea CCM iwapandishe juu kwa kuihujumu Chadema...
UMACHINGA SIO KIPAJI, SIO SIFA, SIO CHEO, SIO KIPAWA | UMACHINGA NI HATUA YA KUFIKIA NDOTO YA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA NDANI|NJE YA TANZANIA
________________________________________
Nguli wa...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari,
Wale wanaochukua masomo yasiyo...
DEMOKRASIA YA TANZANIA SIYO YA CHINA WALA MAREKANI.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kufananisha demokrasia ya Tanzania na nchi za USA, UK, CHINA, KOREA ni kuikosea Tanzania. Tanzania ni nchi ambayo...
Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021...
Nimeona nchi nyingi za Afrika zikiongozwa na kinara wa uchumi Afrika kusini hazijapiga kura kuhusiana na mgogoro wa Ukraine na Russia pale UN
Nchi hizo zimeungana na China ambaye pia hajapiga...
KMK mh Hussen Katanga amemuongezea CAG watumishi 104 ili kuongeza kasi ya ukaguzi wa fedha za Uviko katika maeneo mbalimbali .
Naye CAG mh Charles Kicheere amesema wanafanya ukaguzi makini kwa...
Wanaukumbi.
Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao...
Wakuu habari, baada ya Rais Magufuli kufariki, Samia Suluhu ambaye alikuwa makamu wake alikuwa Rais, sasa swali likaja kuibuka kuwa Samia anandeleza awamu ya Magufuli (AWAMU YA 5) au itakuwa ni...
Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state.
Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero...
Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani.
Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa...
Kuna kitu kimeanzishwa na kuzichora nchi za dunia ya nne na tatu hasa za Afrika.
Sina imani na aliye asisi mchakato huu kwanza umepelekea athari za moja kwa moja Ukraine. Upigaji kura wa nchi...
Taarifa iliyotolewa Mbele ya Mahakama ya Uhujumu uchumi na Waendesha mashitaka wa serikali , kwamba Moja ya kielelezo kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake ni mfuko wa bei...
Watanzania wengi hawakujua kwa nini waliomchukia hayati Magufuli walikuwa wakimkebehi kupitia mitandao ya hasa Twita.
Baadhi yao wakaanza kupost picha za magari ya kijeshi yakifanya mazoezi ya...