Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,095
- 4,059
Kuna kitu kimeanzishwa na kuzichora nchi za dunia ya nne na tatu hasa za Afrika.
Sina imani na aliye asisi mchakato huu kwanza umepelekea athari za moja kwa moja Ukraine. Upigaji kura wa nchi ambazo hata kama hazipo kwenye NATO, imepelekea kwa Ukraine kuwabagua wananchi ambao nchi zao zimekataa kutoinga Urusi. Tukio hili kwangu binafsi ni propaganda kama zilivyo propaganda zingine ila nataka kujua ni nchi au taasisi gani imeanzisha utaratibu huu?
Mwenyekiti(USA) wa NATO nae kapiga kura ya kumkana Urusi. Naomba kujua ni nani anayepiga hii kura kwa niaba ya nchi yake na kwa namna gani taarifa inafika katika nchi ili ipige kura.
Sikumbuki kama nyuma imewahi pigwa kura ya namna hii kupinga uvamizi wa nchi na nchi. Yawezekana tokea vita ya pili ya dunia hakujawahi tokea uvamizi wa namna hii,ila vipi kuhusu Iran,Afghanstan,Iraq,Libya,Syria na Palestine?. Au bara la ulaya ni special sana na hizo nchi za Afrika ,Mashariki ya kati na Asia ni takataka tu katika uso wa dunia?
Uvamizi huu angefanya nchi kama USA,je hii kura ya turufu ingepigwa? Kwa nn?.