Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi. Hili limekaaje?

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,916
30,259
Ndugu zanguni,
Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi.
Hili limekaaje?

Hawa hawakuwa ''magaidi?''

Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

DPP LEO TAREHE 01.03.2022 AMEWAFUTIA MASHTAKA WATUHUMIWA 15 WA UGAIDI.

Mkurugenzi wa Mashtaka amewafutia mashtaka ya Ugaidi watu 15, jijini Dar es Salaam leo. Watu hao ni pamoja na:

1. Sheikh Juma Yasin Ali. (PI 55/2015).
2. Ustadhi Abdalla Juma Omar (PI 55/2015) na -
3. Nassoro Said Amoor (PI 55/3015).

Wengine ni:
4. Ali Nassoro Swala (PI 32/2015).
5. Juma Zuberi Kitambi (PI 32/2015).
6. Rajabu Ali Magomba (PI 24/2015).
7. Hussein Mustafa Juma (PI 24/2015) na
8. Haruna Issa Nkuye (PI 24/2015).

Wengine ni:
9. Buheti Yusuf Buheti (PI 7/2016).
10. Seif Shaha Jongo (PI 6/2016).
11. Yusuf Issa Rajab (PI 7/2016) na
12. Hassan Bakari Mnele (PI 50/2015).

Wengine ni:
13. Ramia Shaaban Swaleh (PI 50/2015).
14. Abdul Majid Juma Ludima (PI 13/2016) na
15. Rashid Hassan Mitambo (PI 13/2016).

Katika mashauri hayo ambayo hayakupata kuzungumzwa ndani ya zaidi ya miaka saba, mkurugenzi alitamka mbele ya Jaji kuwa jamhuri haina nia ya kuendelea tena na mashauri hayo.

Ukiacha habari hii kwa ufupi Shura ya Maimamu tunaendelea kuratibu waliofutiwa mashtaka Arusha, Tanga na Mwanza jana na leo.

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

Kinachonisikitisha ni kuwa hii mada hapo chini nimeandika Kiingereza.
Hii ni mada niliwasilisha University of Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006 katika kongamano kuhusu ugaidi:

Kwa Ushauri,

Kile walichokuwa wanakifanya hadi kikapalekea wao kudhaniwa ni Magaidi waachane nacho kisije kurudia tena wao kushikwa hence sisi kama Taifa kukosa nguvu kazi na Kodi zetu kupelekea kuwalisha huko Lupango.
 
Ndugu zanguni,
Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi.
Hili limekaaje?

Hawa hawakuwa ''magaidi?''

Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

DPP LEO TAREHE 01.03.2022 AMEWAFUTIA MASHTAKA WATUHUMIWA 15 WA UGAIDI.

Mkurugenzi wa Mashtaka amewafutia mashtaka ya Ugaidi watu 15, jijini Dar es Salaam leo. Watu hao ni pamoja na:

1. Sheikh Juma Yasin Ali. (PI 55/2015).
2. Ustadhi Abdalla Juma Omar (PI 55/2015) na -
3. Nassoro Said Amoor (PI 55/3015).

Wengine ni:
4. Ali Nassoro Swala (PI 32/2015).
5. Juma Zuberi Kitambi (PI 32/2015).
6. Rajabu Ali Magomba (PI 24/2015).
7. Hussein Mustafa Juma (PI 24/2015) na
8. Haruna Issa Nkuye (PI 24/2015).

Wengine ni:
9. Buheti Yusuf Buheti (PI 7/2016).
10. Seif Shaha Jongo (PI 6/2016).
11. Yusuf Issa Rajab (PI 7/2016) na
12. Hassan Bakari Mnele (PI 50/2015).

Wengine ni:
13. Ramia Shaaban Swaleh (PI 50/2015).
14. Abdul Majid Juma Ludima (PI 13/2016) na
15. Rashid Hassan Mitambo (PI 13/2016).

Katika mashauri hayo ambayo hayakupata kuzungumzwa ndani ya zaidi ya miaka saba, mkurugenzi alitamka mbele ya Jaji kuwa jamhuri haina nia ya kuendelea tena na mashauri hayo.

Ukiacha habari hii kwa ufupi Shura ya Maimamu tunaendelea kuratibu waliofutiwa mashtaka Arusha, Tanga na Mwanza jana na leo.

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

Kinachonisikitisha ni kuwa hii mada hapo chini nimeandika Kiingereza.
Hii ni mada niliwasilisha University of Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006 katika kongamano kuhusu ugaidi:

Mbona unawahukumu mkuu hao siyo Magaidi ni "watuhumiwa/washukiwa wa ugaidi."
 
Na wote Hawa kwa majina yao,ni WA dini moja,walikamatwa wakati mkuu wa nchi ni WA dini tofsuti,aliyepo sasa hv ana dini kama wao,ameona awaachie,ila anawapa kesi za ugaidi WA dini tofauti,tutafika tu
 
Wamrudie muumba wao, waache kilichosababisha wakamatwe.
Una upumbavu ndani ya akili yako, usione kwa kuwa sio ndugu zako then unajibu hivi na elewa wale ni binadamu kama sisi na walikua ni suspects tu,

Haki zao zimeathiriwa na ukamataji usio wa haki, 7yrs jail sio 7days mkuu,muda mwingine tuonyeshe ubinadamu mbele sio itikadi zetu, hope's wanasheria wao wataufungulia mashitaka serikali kwa wrongful arrest na 7yrs waliyopoteza mahabusu.
 
Ndugu zanguni,
Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi.
Hili limekaaje?

Hawa hawakuwa ''magaidi?''

Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

DPP LEO TAREHE 01.03.2022 AMEWAFUTIA MASHTAKA WATUHUMIWA 15 WA UGAIDI.

Mkurugenzi wa Mashtaka amewafutia mashtaka ya Ugaidi watu 15, jijini Dar es Salaam leo. Watu hao ni pamoja na:

1. Sheikh Juma Yasin Ali. (PI 55/2015).
2. Ustadhi Abdalla Juma Omar (PI 55/2015) na -
3. Nassoro Said Amoor (PI 55/3015).

Wengine ni:
4. Ali Nassoro Swala (PI 32/2015).
5. Juma Zuberi Kitambi (PI 32/2015).
6. Rajabu Ali Magomba (PI 24/2015).
7. Hussein Mustafa Juma (PI 24/2015) na
8. Haruna Issa Nkuye (PI 24/2015).

Wengine ni:
9. Buheti Yusuf Buheti (PI 7/2016).
10. Seif Shaha Jongo (PI 6/2016).
11. Yusuf Issa Rajab (PI 7/2016) na
12. Hassan Bakari Mnele (PI 50/2015).

Wengine ni:
13. Ramia Shaaban Swaleh (PI 50/2015).
14. Abdul Majid Juma Ludima (PI 13/2016) na
15. Rashid Hassan Mitambo (PI 13/2016).

Katika mashauri hayo ambayo hayakupata kuzungumzwa ndani ya zaidi ya miaka saba, mkurugenzi alitamka mbele ya Jaji kuwa jamhuri haina nia ya kuendelea tena na mashauri hayo.

Ukiacha habari hii kwa ufupi Shura ya Maimamu tunaendelea kuratibu waliofutiwa mashtaka Arusha, Tanga na Mwanza jana na leo.

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

Kinachonisikitisha ni kuwa hii mada hapo chini nimeandika Kiingereza.
Hii ni mada niliwasilisha University of Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006 katika kongamano kuhusu ugaidi:

Tatizo lenu waislamu hakuna umoja, ukweli namkubali Sheikh Ponda ndiyo mtetezi wa waislam hawa wengine ni wachuuzi wa dini tu na siyo viongozi
 
Una upumbavu ndani ya akili yako, usione kwa kuwa sio ndugu zako then unajibu hivi na elewa wale ni binadamu kama sisi na walikua ni suspects tu, haki zao zimeathiriwa na ukamataji usio wa haki, 7yrs jail sio 7days mkuu,muda mwingine tuonyeshe ubinadamu mbele sio itikadi zetu, hope's wanasheria wao wataufungulia mashitaka serikali kwa wrongful arrest na 7yrs waliyopoteza mahabusu.
Tena walionewa wala hawakuwa na tatizo lolote
 
Back
Top Bottom