Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,137
Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate.

Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani .

=======

Tanzania's risk of debt distress has worsened, says World Bank Report


The World Bank has on Tuesday March 1 said that the risk of debt distress in the country has worsened from low to moderate exacerbated by poor performance of the tourism sector due to Covid-19 concerns.

This is according to the 17th Tanzania Economic Update, as released by the World Bank on March 1, 2022.

This, as a result has led to borrowing of non-concessional loans from financial partners in order to keep the economy afloat.

As a result, the risk that Tanzania might fall into debt distress has been reaffirmed by the World Bank.

However, the international financial body advised on key areas that might help the country avert debt burdens.

The bank says it includes enhancement of public-sector debt statistics, focusing on projects that promise clear socioeconomic payoffs, balancing emergency spending with broader development agenda.

Source: The Citizen

Screenshot_20220304-081442.png
 
Msiogope, mtasamehewa madeni kama mlivyosamehewa enzi zile za Kikwete mkishaonyesha mnafanya economic reforms za IMF na World Bank.
 
wapo watu wameongea sana juu ya hili swala la kukopa kopa ovyo lakini ikaonekana kama shule yao no ndogo sana na hivyo hoja zao hazina mashiko tuendeleeni tu kujifukiza ila time will tell
 
Back
Top Bottom