Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,193
Historia bado itamkumbuka Rais Kikwete kwa kuishi ki laghai na wapinzani wake muda wote wa uongozi wake.
Rais kikwete alifahamu vyema mdundo wa kina Mbowe na Lisu na hakika aliucheza vyema kwa kuwahadaa na hata walipodemka huko katika mikutano ya hadhara kwanza aliwachapa sawasawa kwa mijeredi kupitia Polisi na kisha aliwaita Ikulu kuwapoza na chai na bashkiti.
Mwisho Rais Kikwete alimaliza Utawala wake kwa amani kabisaaaa!
Sasa kuna dalili Rais Samia ndipo anapotaka kuelekea na tayari ameshamchapa Mbowe na miezi nane gerezani na juzi kamtoa na akamwita Ikulu na kumpoza kwa dinner.
Muda utaongea.