johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,868
Kabla Freeman Mbowe hajatoka gerezani Katibu wa Bawacha kule Mwanza kupitia Star tv alitutaarifu kuwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atarejea nchini hivi karibuni.
Kwamba akiwa nchini, Tundu Lisu ataongoza mkutano wa baraza kuu utakaojadili rufaa za wabunge 6 wa viti maalumu.
Pili Tundu Lisu atafanya mikutano ya ndani nchi nzima!
Ndio nauliza, mh Mbowe basda ya kutoka mipango ya Lisu itaendelezwa?
Sabato njema!