Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania ATCL, Eng. Matindi amekanusha taarifa ya ndege yake aina ya Bombadier Q400 kuwa mbovu
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake. Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM. Jana...
15 Reactions
108 Replies
7K Views
Five African countries for investors to watch in 2022 Investment Monitor's African investor guides identify the five countries on the continent that look set for stellar years in 2022 for FDI...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Najua umemaliza ziara Yako Mkoani Manyara,na Sasa upo Chato Kwa kaka yako. Nachukua fursa hii kukipa taarifa jinsi ziara yako ilivyowatesa wananchi. Nazungumzia namna Barabara zilivyofunga...
23 Reactions
54 Replies
4K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa kote duniani . Freeman Mbowe , ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa ataongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama , Nje ya Jiji la Dar...
23 Reactions
90 Replies
8K Views
Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF. Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa. Madai ya Katiba Mpya ni nani...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
1. Mradi wa mwendokasi Dar. Huku mabasi hayafanyiwi maintainance, yanaharibika watu hawajali, kila siku watu zaidi ya laki 1 wanatumia mabasi haya na fedha zinakusanywa na mamlaka husika Ila kila...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Kwa miaka mingi, nikishirikiana na taasisi kubwa Duniani zinazoangalia na kutoa mafunzo kihusu Ufanisi Kazini, nimekuwa nikizunguka mabara mbalimbali, na hasa kwa makampuni makubwa ya kimataifa...
5 Reactions
15 Replies
866 Views
Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu...
4 Reactions
57 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb) ameushauri uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kujikita kutangaza fursa hasa za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia! Tutasubiri sana! Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022 atazungumza na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 5 asubuhi hii kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM (OND)...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni ukweli ulio wazi kwamba sisi kama Watumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunapitia kipindi kigumu hasa kiuchumi na Cha muda mrefu sasa. Licha ya changamoto nyingi ambazo Watumishi...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Akitoa maoni yake Dr. Azavel Lwaitama mdau mkubwa katika harakati za kutafuta nchi yenye demokrasia iliyo stawi yenye maridhiano, umoja, uhuru na maendeleo amesikika huko Clubhouse kwenye mjadala...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimemsikiliza Mgombea Urais kupitia Chadema. Kiujumla anapaswa kuongea zaidi kuliko wagombea wa vyama vingine. Kwa kuwa hakuweponchini kwa muda mrefu tofauti na wale wengine, inaweza kuwa sababu...
15 Reactions
33 Replies
45K Views
Sitaki kuzungumzia maovu ya kisiasa aliyoyafanya kwa Taifa huyu mtu, maana hata ukurasa huu hautatosha, nataka nizungumzie tu maovu aliyowafanyia kanisa Katoliki na Makanisa Mengine, halafu leo...
41 Reactions
286 Replies
15K Views
Habarini wakuu, Najiuliza hizi gharama za kusafirisha watumishi wote mkoa wa Geita kwenda chato tarehe 17/3/2022 ni za serikali au kuna mfadhili? Kama kuna mfadhili ana maslahi gani na hili...
8 Reactions
96 Replies
7K Views
Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN. Nirudi kwenye...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa. Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo...
27 Reactions
99 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…