Viongozi wa Dini Kilimanjaro wakanusha kumpokea kiongozi yeyote wa kisiasa Machi 19, 2022

the horse

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
652
441
Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .

Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita kwenye masuala ya Kiroho na kuliombea Taifa letu pasipo kujihusisha na Siasa na mapokezi ya Kisiasa.

Tunaomba Wananchi na waumini wote wapuuzie uhamasishaji huo unaolenga kutumia jina la Viongozi wa Dini kwa matakwa binafsi ya Kisiasa. Mwenyezi Mungu aibariki nchi yetu na kutujalia Neema zake.

Imetolewa na Umoja wa Viongozi wa Dini Mkoa wa Kilimanjaro.
18/03/2022.
 
FB_IMG_16476652993787854.jpg
 
Umoja wa viongozi wa dini kisha hakuna jina la mtoa taarifa?! Ni hivi hakuhitajiki umoja wa viongozi wa dini, bali kiongozi wa dini anaweza kwenda kwa utashi wake.
 
Mnatia huruma Sana. Punguzeni uongo.
 
Utajinyea wewe
 
Umoja wa viongozi wa dini kisha hakuna jina la mtoa taarifa?! Ni hivi hakuhitajiki umoja wa viongozi wa dini, bali kiongozi wa dini anaweza kwenda kwa utashi wake.
Anayesambaza huo ujumbe hakutaja jina lake wa majina ya hao viongozi wa dini. Sasa Kuna haja gani kwa kiongozi wa dini kutaja jina lake?
 
Hivi hua mnalipwa bei gani..kueneza chuki na propaganda za kipuuzi dhidi ya watanzania wenzenu wenye lengo zuri la kuunda nchi na kuleta maendeleo ya pamoja.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwahio wanachagua wa Kupokea, Kuombea na Kukaribisha ?

Nilidhani hizi Taasisi ni kimbilio la kila muhitaji na kila Kiumbe anakaribishwa, Ofcourse sisemi wafunge safari na kwenda kumpokea mtu..,

Kutokujihusisha na Siasa ni Vema na Haki ila kumtumikia Kaisari Pekee na kuwaacha wengine sidhani kama ni sawa....

Kukanusha kumpokea mtu ni kama kusema hatumpokei, kuliko wangeacha kutokumpokea physically lakini mentally and spiritually wanampokea.., In short kujiingiza kwenye malumbano ndio kujiingiza kwenye Siasa kwenyewe
 
Jamaa wanawashwawashwa balaa!Ya nini kupiga mayowe?Si msubiri muda utaongea nini?Kwani mmeambiwa anakuja kutwaa ardhi yenu?
Yaani nyuzi nyingi jamaa wanahangaika mara mapokezi yamedoda,mara sijui Saasisha kafanya nini,mara viongozi wa dini wakanusha,hawajui wao ndio wanazidi kulipaisha tukio

Walipompa kesi ya mchongo ndipo walimpa umaarufu zaidi sasa wanahangaika wao.
 
Wamegeuka kuwa viburudisho wa JF.
 
Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .

Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita kwenye masuala ya Kiroho na kuliombea Taifa letu pasipo kujihusisha na Siasa na mapokezi ya Kisiasa.

Tunaomba Wananchi na waumini wote wapuuzie uhamasishaji huo unaolenga kutumia jina la Viongozi wa Dini kwa matakwa binafsi ya Kisiasa. Mwenyezi Mungu aibariki nchi yetu na kutujalia Neema zake.

Imetolewa na Umoja wa Viongozi wa Dini Mkoa wa Kilimanjaro.
18/03/2022.
Kwenye tamasha na mikutano ya CCM huwa mpo, sio ya kisiasa? Mnaidhalilisha imani ya dini.
 
Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .

Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita kwenye masuala ya Kiroho na kuliombea Taifa letu pasipo kujihusisha na Siasa na mapokezi ya Kisiasa.

Tunaomba Wananchi na waumini wote wapuuzie uhamasishaji huo unaolenga kutumia jina la Viongozi wa Dini kwa matakwa binafsi ya Kisiasa. Mwenyezi Mungu aibariki nchi yetu na kutujalia Neema zake.

Imetolewa na Umoja wa Viongozi wa Dini Mkoa wa Kilimanjaro.
18/03/2022.
Umoja ya dini ya WASIOJULIKANA na WAFUASI WA SABAYA kwisha.
 
Pole sana
20220319_134520.jpg
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom