Awamu ya 6: Tusije zembea ujenzi wa Bwawa la uzalishaji umeme Stieglers Gorge

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,313
24,171
Kwanza nianze kwa kusema mimi si mpenzi mkubwa wa Rais wetu aliyepita, JPM.

Hata hivyo, pamoja na figisu nyingi za JPM katika mambo mbali mbali, mengine ambayo yalikuwa miradi ya upendeleo ulio wazi kimaeneo, katika mradi wa bwawa la umeme Stieglers alikuwa spot on.

Mradi wa ujenzi wa bwawa la kuweza kufua umeme la Nyerere Hydropower(Stieglers Gorge), ni kati ya miradi ya kimkakati yenye matokeo yanayoweza kuleta mapinduzi ya uchumi kwa miaka mingi ijayo.

Katika hili, nampongeza JPM kama ambavyo nimempongeza mara kadhaa huko nyuma.

Maneno maneno tunayosikia toka kwa Waziri wa sasa wa Nishati, Januari Makamba, yanatutia wasiwasi juu ya azma kukamilisha ujenzi wa bwawa hilo kwa wakati.

Tunajua naye JPM aliupa kisogo mradi wa uendelezaji wa uchimbaji wa gesi kwa matumizi ya uzalishaji umeme.

Lakini Waziri Makamba awe careful katika kutekeleza miradi hii ili yote yakamilike kwa manufaa ya nchi, Tanzania.

Haya maneno maneo mara oooh, maji hayajazwi kwenye bwawa leo wala kesho, mara mradi uko nyuma, …………….mara mkandarasi hawezi kazi, hayo wananchi hatupendi kuyasikia. Tunachotaka kusikia ni lini mradi unakamilika, na tupate umeme wa bei chee.

Tunajua figisu kati ya JPM na baba yake January, Yusufu Makamba, lakini ni vyema tukayaweka hayo nyuma yetu na tugange yajayo, afterall JPM sasa hayupo.

Tunataka mradi wa JNHPP (Julius Nyerere Hydropower Project) ukamilike kwa wakati.

(NB: Tunasikia kutoka kwa ka nzi, kuwa kuna wakubwa wamejipanga kuingiza figisu kwa makusudi mradi huu)
 
Njia yeyote ya kuhujumu miradi ya maendeleo ya watanzania kwa gharama yeyote..ikiwemo Sgr na strogious gourge na bandari na madaraja makubwa kama busis haiwezi kukibalika ..I
Hiyo miradi mingine siikubali sana, ile mradi wa bwawa la kuzalisha umeme JNHPP lazima ukamilike kwa maendeleo ya nchi kiuchumi.
 
J
Kwanza nianze kwa kusema mimi si mpenzi mkubwa wa Rais wetu aliyepita, JPM.

Hata hivyo, pamoja na figisu nyingi za JPM katika mambo mbali mbali, mengine ambayo yalikuwa miradi ya upendeleo ulio wazi kimaeneo, katika mradi wa bwawa la umeme Stieglers alikuwa spot on.

Mradi wa ujenzi wa bwawa la kuweza kufua umeme la Nyerere Hydropower(Stieglers Gorge), ni kati ya miradi ya kimkakati yenye matokeo yanayoweza kuleta mapinduzi ya uchumi kwa miaka mingi ijayo.

Katika hili, nampongeza JPM kama ambavyo nimempongeza mara kadhaa huko nyuma.

Maneno maneno tunayosikia toka kwa Waziri wa sasa wa Nishati, Januari Makamba, yanatutia wasiwasi juu ya azma kukamilisha ujenzi wa bwawa hilo kwa wakati.

Tunajua naye JPM aliupa kisogo mradi wa uendelezaji wa uchimbaji wa gesi kwa matumizi ya uzalishaji umeme.

Lakini Waziri Makamba awe careful katika kutekeleza miradi hii ili yote yakamilike kwa manufaa ya nchi, Tanzania.

Haya maneno maneo …………..mara oooh, maji hayajazwi kwenye bwawa leo wala kesho,………… mara mradi uko nyuma, …………….mara mkandarasi hawezi kazi,
hayo wananchi hatupendi kuyasikia.
Tunachotaka kusikia ni lini mradi unakamilika, na tupate umeme wa bei chee.

Tunajua figisu kati ya JPM na baba yake January, Yusufu Makamba, lakini ni vyema tukayaweka hayo nyuma yetu na tugange yajayo, afterall JPM sasa hayupo.

Tunataka mradi wa JNHPP (Julius Nyerere Hydropower Project) ukamilike kwa wakati.

(NB: Tunasikia kutoka kwa ka nzi, kuwa kuna wakubwa wamejipanga kuingiza figisu kwa makusudi mradi huu)
Je watakuwa wanamkomoa nani so far mradi huo uko kanda ya pwani!
 
Hakuna uzembe wowote hwbu tulieni muone kazi ikiendelea
 
Kama ni hivyo mbona umempa angalizo yeye?....ok kama ni angalizo kwa awamu ya sita basi usifunike funike hili angalizo lipeleke moja kwa moja kwa Rais.
Nipo tayari kusahihishwa
Mkuu uwezowako wa kudadavua mada unanipa wasiwasi.
Wewe elewa tu ulivyo elewa , sisi tunataka mradi wa JNHPP ukamilike mapema.
 
Njia yeyote ya kuhujumu miradi ya maendeleo ya watanzania kwa gharama yeyote..ikiwemo Sgr na strogious gourge na bandari na madaraja makubwa kama busis haiwezi kukibalika ..I
Nenda kajifunze lugha ya taifa lako kwanza
 
Hata Kalemani hakuwa na elimu kuhusu nishati.
Kwani lazima mradi huu kusimamiwa na January?....hela anatoa yeye?...acheni kumpa kichwa as if yupo smart kwanza elimu yenyewe kuhusu nishati hana...ni mambo ya kubebana tu
 
Kwanza nianze kwa kusema mimi si mpenzi mkubwa wa Rais wetu aliyepita, JPM.

Hata hivyo, pamoja na figisu nyingi za JPM katika mambo mbali mbali, mengine ambayo yalikuwa miradi ya upendeleo ulio wazi kimaeneo, katika mradi wa bwawa la umeme Stieglers alikuwa spot on.

Mradi wa ujenzi wa bwawa la kuweza kufua umeme la Nyerere Hydropower(Stieglers Gorge), ni kati ya miradi ya kimkakati yenye matokeo yanayoweza kuleta mapinduzi ya uchumi kwa miaka mingi ijayo.

Katika hili, nampongeza JPM kama ambavyo nimempongeza mara kadhaa huko nyuma.

Maneno maneno tunayosikia toka kwa Waziri wa sasa wa Nishati, Januari Makamba, yanatutia wasiwasi juu ya azma kukamilisha ujenzi wa bwawa hilo kwa wakati.

Tunajua naye JPM aliupa kisogo mradi wa uendelezaji wa uchimbaji wa gesi kwa matumizi ya uzalishaji umeme.

Lakini Waziri Makamba awe careful katika kutekeleza miradi hii ili yote yakamilike kwa manufaa ya nchi, Tanzania.

Haya maneno maneo …………..mara oooh, maji hayajazwi kwenye bwawa leo wala kesho,………… mara mradi uko nyuma, …………….mara mkandarasi hawezi kazi,
hayo wananchi hatupendi kuyasikia.
Tunachotaka kusikia ni lini mradi unakamilika, na tupate umeme wa bei chee.

Tunajua figisu kati ya JPM na baba yake January, Yusufu Makamba, lakini ni vyema tukayaweka hayo nyuma yetu na tugange yajayo, afterall JPM sasa hayupo.

Tunataka mradi wa JNHPP (Julius Nyerere Hydropower Project) ukamilike kwa wakati.

(NB: Tunasikia kutoka kwa ka nzi, kuwa kuna wakubwa wamejipanga kuingiza figisu kwa makusudi mradi huu)
Kwa hii kasi ya mabadiliko ya hali ya hewa sidhani kama huu mradi bado ni viable,maji yatatoka wapi?.
 
Back
Top Bottom