NIDA inatarajia kuanzisha vitambulisho vya Taifa vya Smartcard

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Dar es Salaam. The National Identification Authority (Nida) says it is working on a national identity smartcard that would do away with the need to have multiple IDs.

Currently, Tanzanians have several identification documents, including the national ID, driving licence, health insurance ID, social security fund membership card, employment ID, transport fare cards, and bank cards, among others.
Access multiple services

But Nida director general Edson Guyai said the weekend that the proposed smartcard would allow holders to access multiple services, including finance, transport and insurance.

Mr Guyai made the revelation when speaking on the television station UTV during a programme marking President Samia Suluhu Hassan’s one year in office.

“We plan to reduce the number of IDs through issuance of a smartcard ID, which will add value to the existing one,” he said.
“We want it to be recognised as an ATM card, and insurance and licence document that will enable citizens to conveniently access services,” Mr Guyai added.

He said as part of efforts to implement the plan, Nida had started to integrate various identification systems in both public and private sectors.

“So far we have succeeded in integrating at least 52 identification systems from various sectors that will help to eradicate the challenges encountered in accessing essential services.”

On Nida’s achievements since President Hassan came into office on March 19, 2021, Mr Guyai said: “We are proud to have registered one million people, provided identification numbers to 1.3 million people, and issued three million IDs”.

For his part, Higher Education Students’ Loans Board (Heslb) executive director Abdul-Razaq Badru said smartcard IDs would help the agency to establish the location and activities of loan beneficiaries.

“This will enable us to have a more accurate database. We will be able to know exactly where loan beneficiaries are, and what they are doing for a living, including their employment centres,” he said

Transport Regulatory Authority (Latra) director general Gilliard Ngewe said the system would tackle long-standing challenges associated with consumer identification.

He added that the smartcard IDs would facilitate issuance of electronic tickets.
“This will help in the implementation of electronic tickets plan, which will require citizenship ID numbers of recipients, and make it possible, for example, to know exactly how many passengers were in a vehicle in case of an accident,” he said.
Customers’ particulars

The commissioner of insurance, Dr Baghayo Saqware, said the use of tghe proposed smartcards would make it easier to get customers’ particulars.

“The challenge we now face in positively identifying insurance clients is that a lot of IDs from the customer are required, but this will be history once the smartcards come into operation in addition to cutting operating costs and bureaucracy,” he said.

Mr Guyai noted that provision of national IDs had vastly improved over the past year during which Nida produced 3 million IDs, which is more than a quarter of the total number of documents issued by the agency since its establishment.

Source: The Citizen
 
Hivyo vitakuwa vizuri kupunguza mafurushi mfukoni, ila sijui kama wataweza kuvitoa kwa wakati kwa watanzania wote kama hivi vya sasa tu bado vinawashinda kutoa kwa wakati licha ya kuanza kutolewa karibia miaka mitano iliyopita.

Muhimu hizo smartcard zisiwe na expiry date
 
Tunashukuru ku intergrate NIDA na kampuni za Simu ambapi unaweka dole gumba tu taarifa za NIDA zinakuja

Vipi kuhusu wao NIDA ku intergrate taarifa zao na kitengo cha Passport wata intergrate lini au wamshaintergrate ?

Maana mtu unaenda na mizigo ya hard copy wakati wange intergrate ingekuwa kazi rahisi ya sekunde tu kuhudumia
 
Kwanini hamkulifukiria hili tangu mwanzoni.

It was so obvious na leo mnataka muonekane wa maana.

Upuuzi tu, fanyeni kazi yenu mliopaswa kuifanya tangu mwanzo bila kutusumbuana makelele yasiyo na tija.
 
Its good to Dream (Dare to Dream) ndio maendeleo yanavyokuja ukizingatia hawajasema ni lini vitakuja...

Lakini haya mambo ya kadi ni sooo old fashioned kama NIDA wana database ambazo zina details zangu hata bila Kadi mimi nipo NIDA....

Na kuunganisha details zangu za employment afya n.k. katika Database ya NIDA naona kama privacy yangu inakuwa imeingiliwa sana...,

ni hivi watu wa afya na employment ndio watakuwa na details zangu kwenye database yao..., na hio NIDA itatumika tu kama ufunguo wa wadau wa afya na employment sio NIDA kuwa na access ya hizo taarifa zangu....,

Centralization ya vitu vingi kimoja kikigoma mambo yanaweza yakakwama...,

Unaweza ukakosa kupata huduma ya Afya sababu sever ya NIDA ipo Down
 
Hivyo vya kawaida tu wameshindwa mwaka wa pili huu unaisha sijapata kitambulisho mpaka siku hizi nimeacha kufuatilia nasubiri kama message watume wao sipotezi tena muda wangu.
 
Back
Top Bottom