Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,369
- 283,463
Wale vijana bora na tegemeo la Taifa wanaoitwa Bavicha , leo wameendesha kongamano kabambe la Katiba Mpya kwenye Jimbo la Buchosa , ambapo viongozi mbali mbali wametoa mada kuhusu umuhimu wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Mwitikio na hamasa ya wananchi si haba .
Hapa ni Kata ya Kazunzu
Mwitikio na hamasa ya wananchi si haba .
Hapa ni Kata ya Kazunzu